Almost a month wakat wenzie 5 days wanapata😀😀😀Kwa mazingira ya hawa wahuni, Mkono mtupu haulambwi dogo,
Duh! suala la uhamiaji lishakuwa kero ya kitaifa sasa maana kila mtu analalamika , nyuzi zimejaa kuhusu wao mamlaka zipo kimya.Wakuu nilifanya application ya passport pale Kurasini mwezi February mwishoni, na nikaambiwa March 24 nifate passport Wizara ya mambo ya ndani!
Sikwenda hiyo tarehe na nimekuja kwenda Ijumaa iliyopita, lakni cha ajabu kirahisi tu naambiwa taarifa zangu zimeliwa, hivyo nirudi tena Kurasini!
Sasa maswali ninayojiuliza, inawezekana vip taarifa zipotee kirahisi hivyo, maana ya kujaza ile hardcopy ni nini hasa? Je hawana backup system ya taarifa zao? Hata kama kwenye taarifa zimeliwa kwanini wasirudi kwenye hardcopy wapigie simu wateja kuwataarifu kilichotoke?
NB: Wenye uzoefu ili suala linawezekana au ni namna ya kutaka kuibia watu hela? Mpaka sasa sijafanya action yeyote, naomba maoni yenu nichukue hatua gani! Application nilifanya 24 February mwaka huu!
Taarifa Nyingine: KERO - Suala la Mfumo au Mtandao wa Uhamiaji kuwa chini muda mwingi ni kero
Tatizo vijana wanakuwa wabishi sana kunyoosha mkono.Kwa mazingira ya hawa wahuni, Mkono mtupu haulambwi dogo,
Mkuu hao ni watu wajinga wajinga ukishandana nao utakwama parefu kwenye mambo yako, na marafiki zangu wengi tu kipindi flan walikua wanafata mali China walikutana na hiyo changamoto baadae Agency moja inayosafirisha mali kutoka China kuja bongo wakawasaidia... unachofanya unasubmit documents zako zote na kiasi flan cha pesa baada ya muda mfupi kila kitu kinakua tayari. Mpaka saiv wengi wanafanya hivo.Aisee
Wanataka hela hao!Wakuu nilifanya application ya passport pale Kurasini mwezi February mwishoni, na nikaambiwa March 24 nifate passport Wizara ya mambo ya ndani!
Sikwenda hiyo tarehe na nimekuja kwenda Ijumaa iliyopita, lakni cha ajabu kirahisi tu naambiwa taarifa zangu zimeliwa, hivyo nirudi tena Kurasini!
Sasa maswali ninayojiuliza, inawezekana vip taarifa zipotee kirahisi hivyo, maana ya kujaza ile hardcopy ni nini hasa? Je hawana backup system ya taarifa zao? Hata kama kwenye taarifa zimeliwa kwanini wasirudi kwenye hardcopy wapigie simu wateja kuwataarifu kilichotoke?
NB: Wenye uzoefu ili suala linawezekana au ni namna ya kutaka kuibia watu hela? Mpaka sasa sijafanya action yeyote, naomba maoni yenu nichukue hatua gani! Application nilifanya 24 February mwaka huu!
Taarifa Nyingine: KERO - Suala la Mfumo au Mtandao wa Uhamiaji kuwa chini muda mwingi ni kero
Doc zako zimeliwa na virus ila hao virus wakipewa sumu aina ya rushwa au pesa wataitapika iyo doc na utapata passport yako chap ila ukikaza fuvu hutosafir kwa haraka
Hadi 3 daysAlmost a month wakat wenzie 5 days wanapata😀😀😀