Niliona gari ya Kapola, nikaona hotel ya Boniface then shule ya kimataifa ya Ezekiel, nikajiuliza, am I too soft for life or too harsh on my reality?

Niliona gari ya Kapola, nikaona hotel ya Boniface then shule ya kimataifa ya Ezekiel, nikajiuliza, am I too soft for life or too harsh on my reality?

Unless uwahukumu kwa wanachosema (kuleta taaruki kwa jamii kwamba wanajamii wenzao ndio wamewaroga) au kwa kutakatisha pesa (kama una evidence) basi sioni tatizo lao katika kujaribu kujipatia mkate kwa kugawa hii Opium of the Mass (wengine wote wanafanya katika levels tofauti)

Na badala yake una kila haki na wajibu wa kuwabana wale wanaochukua wala bila kuomba bali kwa lazima.., inabidi kuwauliza wanachokichukua kinafanya nini ?

Back
Top Bottom