Dennis R Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 267
- 372
kuweni makini watu wana hang over huoni weekend hiiKwani ni huyu huyu Mafuru ndio anawafanya watu wawe watunzi na waandishi kiasi hiki AU kuna jingine tusubiri?
Acha ujinga wewe! Huyu ameandika ujumbe wa Kinabii kuhusu ufalme ulioko madarakani; wewe wabeza?kuweni makini watu wana hang over huoni weekend hii
inatusaidia nini sisi..?Acha ujinga wewe! Huyu ameandika ujumbe wa Kinabii kuhusu ufalme ulioko madarakani; wewe wabeza?
unazungumzia chadema na uongozi sio gentleman πMakaburi yamebomoka mizizi imekatika,
Limebaki shina tu,
Zile zama za zaman zimeisha,
Kiburi na dharau zilikuponza,
Ulipenda kutumia nguvu kuliko akili,
Ulikataa maonyo ukakumbatia kiburi,
Ulimkufuru Mungu maksudi,
Utupu wako uko wazi kila mtu anauona,
Maji yaliyopoa ndo yenye nguvu,
Yakupasayo aman yalifichwa machoni pako,
Nyumba yako imefunikwa na ukiwa,
Ghasia na mifarakano haitakoma kwako,
Utatumia nguvu kurudisha enzi zako,
Hutaweza sababu mizizi imekatwa,
Dhambi yako imeandikwa kwa kalamu ya chuma na ncha ya almasi.
Ipo waziMakaburi yamebomoka mizizi imekatika,
Limebaki shina tu,
Zile zama za zaman zimeisha,
Kiburi na dharau zilikuponza,
Ulipenda kutumia nguvu kuliko akili,
Ulikataa maonyo ukakumbatia kiburi,
Ulimkufuru Mungu maksudi,
Utupu wako uko wazi kila mtu anauona,
Maji yaliyopoa ndo yenye nguvu,
Yakupasayo aman yalifichwa machoni pako,
Nyumba yako imefunikwa na ukiwa,
Ghasia na mifarakano haitakoma kwako,
Utatumia nguvu kurudisha enzi zako,
Hutaweza sababu mizizi imekatwa,
Dhambi yako imeandikwa kwa kalamu ya chuma na ncha ya almasi.
Wewe ni CCM-mfu maana wenzio akina msechu wapo studio wanamalizia kuandaa single ya maombolezounazungumzia chadema na uongozi sio gentleman π
hawa wengine ndio wamefikia hatua hii sio gentleman dah, INASIKITISHA sana aise πWewe ni CCM-mfu maana wenzio akina msechu wapo studio wanamalizia kuandaa single ya maombolezo
Kama hivyo Hiyo itakuwa ya gongo bila shaka.kuweni makini watu wana hang over huoni weekend hii