Niliona Post humu kuwa Iran ingefunga anga trh 4 - 6. Kiko wapi!

Mikwala Miiiiiiiiiingi kama Russia.

Nakukumbuka zamani mtu anatishia kupigana huku akivua shati na kutema mate chini halafu harushi hata ngumi moja.

Samaleko ndugu zangu wavaa kobasi na suruali za Kareti
Unakumbuka kabla Iran hajafanya shambulio la Oktoba Mosi alikaa miezi mingapi hadi anakuja kushambulia!??
Ukitoa mihemko ya kijinga utaelewa.
 
Israel ndo anamikwara kapelekea ndege 100 kuishambulia Iran kwa makombora elfu 1 alafu kombora moja tu ndo limefanikiwa kutungua embe.

Tulia uone operation true promise 3 ya Iran utashuhudia makombora yakitua pale Tel aviv live bila chenga siyo yale makombora ya Israel yasiyoonekana wala kuleta madhara
 
Wana jeshi wa4 wa iran Raia mmoja
RAda + mifumo ya ulinzi
Kiwanda cha kutengeneza makombora
+ Other military infrastructure
The target hit was precisely sio
Nyie wavaa kobaz makombora 1000 mkaua raia 1 mpalestina alie kaidi kwenda kujihifadhi kwenye handaki
Mme pigwa panapo uma ndo maana mnakuja na ngonjera ya primise3 ya nyoko na safari hii mkijaribu tu mna rudi stone age
 
Chadema wametishwa siku ya maandamano mpaka leo wamekimbiana. Ujasiri anzeni kwenu kwanza kuliko kuwaangalia wenzenu. Wenzenu ujasiri ushafika pakubwa
 
Mikwala Miiiiiiiiiingi kama Russia.

Nakukumbuka zamani mtu anatishia kupigana huku akivua shati na kutema mate chini halafu harushi hata ngumi moja.

Samaleko ndugu zangu wavaa kobasi na suruali za Kareti
Ritz Njoo utoe ufafanuzi hapa. Ile ahadi siku zinakatika. Wakumbushe Irani basi
 
Wana jeshi wa4 wa iran Raia mmoja
RAda + mifumo ya ulinzi
Kiwanda cha kutengeneza makombora
+ Other military infrastructure
The target hit was precisely sio
Nyie wavaa kobaz makombora 1000 mkaua raia 1 mpalestina alie kaidi kwenda kujihifadhi kwenye handaki
Mme pigwa panapo uma ndo maana mnakuja na ngonjera ya primise3 ya nyoko na safari hii mkijaribu tu mna rudi stone age
Leta video tuone hayo makombora yakishuka Iran wewe mgalatia usie na akili
 
Operation True Promise 3 inakuja na itakua kwa sasa na siku ambayo Iran ameipanga. Ni lazima Yani
 
Back
Top Bottom