Niliona Post humu kuwa Iran ingefunga anga trh 4 - 6. Kiko wapi!

Nimekuuliza Iran kabla hajashambulia Oktoba 1 alianza kutoa vitisho kwa miezi mingapi!?
Shida yenu LGBTQ akili zimewatoka na kupakana mafuta kwenye vishundu.
Ahaha kudadeeki.
KUle vita ya makombora ya moto
Huku vita ya matusi hot
Any way cha msingi ni israel vs iran
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mikwala Miiiiiiiiiingi kama Russia.

Nakukumbuka zamani mtu anatishia kupigana huku akivua shati na kutema mate chini halafu harushi hata ngumi moja.

Samaleko ndugu zangu wavaa kobasi na suruali za Kareti
Kwani nchi/jeshi likifunga anga lake unaelewa nini? October 1 irani iliposhambulia Israeli, Iran iliifunga anga lake?

Dogo kuna mambo/madhumuni mengi nchi/jeshi linataka kufanya sio hilo tu ulilolikariri wewe
 
Iran apewe maua yake jamani mtu arusha kombora linasafiri 2000km na bado linapiga target na ndege inalengwe nadhani hata west country japo hawewezi kusema hadharani hayo ni mafanikio ya karne na inabidi wajikirie mara mbili pamoja na vkwanzo Iran is powerfull military in middle east even across the world
 
Kufunga anga ni kwa ajili ya Usalama wa nchi na si vinginevyo!
Punguzeni ni mihemko ya ushabiki.
 
Mikwala Miiiiiiiiiingi kama Russia.

Nakukumbuka zamani mtu anatishia kupigana huku akivua shati na kutema mate chini halafu harushi hata ngumi moja.

Samaleko ndugu zangu wavaa kobasi na suruali za Kareti
Bwana asifiwe mvaa pampas uwe na siku njema
 
Unakumbuka kabla Iran hajafanya shambulio la Oktoba Mosi alikaa miezi mingapi hadi anakuja kushambulia!??
Ukitoa mihemko ya kijinga utaelewa.
Aliichoka kuvumilia kila siku watu wake wanauwawa tu,aliumia zaidi wale magaidi wawili waliouwawa siku Netanyahu anahutubia UN. Hao magaidi wawili ni kiongozi wa Hezbollah na kamanda Iran revolutionary guard pamoja na walinzi wao waliokuwa wanajiona wamejificha huku wanafatilia hotuba ya Netanyahu. Na siku hiyo Netanyahu aliweka wapi kuwa pale middle East hakuna sehemu mkono wa Israel unashindwa kufika.
 
Hujajibu swali.
Unajua lile shambulizi la kujibu kisasi cha nani na nani!?
Lile shambulizi halikua tu kulipiza kisasi cha Nasrallah na kamanda wa Iran bali pia kisasi cha Ismail Haniyeh.
Sasa kaeni kwa kutulia kisasi kitalipwa,askari wanne wafe halafu Iran asifanye kitu!?
Ninyi tulieni.
 
Ahaha kudadeeki.
KUle vita ya makombora ya moto
Huku vita ya matusi hot
Any way cha msingi ni israel vs iran
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Anazingua bana.
Mtu unamuuliza kistaarabu anaanza kukupachika majina kwa mlengwa wa kidini.
Yani hawa jamaa pasi na kuleta ulengwa wa kidini hawaridhiki.
 
Mikwala Miiiiiiiiiingi kama Russia.

Nakukumbuka zamani mtu anatishia kupigana huku akivua shati na kutema mate chini halafu harushi hata ngumi moja.

Samaleko ndugu zangu wavaa kobasi na suruali za Kareti
Waliema wanafunga anga, na watapiga kabla ya uchaguzi wa marekani, wakitegemea wamarekani watampigia kura kamala, wamtose Trump ambaye ni threat kwao. wameyakanyaga sasa.
 
Mikwala Miiiiiiiiiingi kama Russia.

Nakukumbuka zamani mtu anatishia kupigana huku akivua shati na kutema mate chini halafu harushi hata ngumi moja.

Samaleko ndugu zangu wavaa kobasi na suruali za Kareti
Hii inaitwa Mikwala bubu...
 
Anazingua bana.
Mtu unamuuliza kistaarabu anaanza kukupachika majina kwa mlengwa wa kidini.
Yani hawa jamaa pasi na kuleta ulengwa wa kidini hawaridhiki.
Ahahahahah.
Ujue huu mgogoro nilichojifunza ni kuwa supporters lazima wajigawe kwa misingi ya dini hakuna namna.πŸ˜‚
Sasa hapa inabidi tu nyie contenders mkubaliane na hizo religious badges amd labelsπŸ˜†
 
Mikwala Miiiiiiiiiingi kama Russia.

Nakukumbuka zamani mtu anatishia kupigana huku akivua shati na kutema mate chini halafu harushi hata ngumi moja.

Samaleko ndugu zangu wavaa kobasi na suruali za Kareti
"Wintaleko"ndugu muanzisha uzi, kwa niaba ya yule alietundikwa ambae nae alikua anavaa kobasi.
 
Nakuona Muirani wa mwamanombu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…