GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Nilidhani Edward Snowden angetumika katika Mbinu alizotumia ili Wapuuzi wengine yasiwakute, ila ikawa ni Kinyume huku tukiwa na maneno ya Ujivuni kuwa NINAJIAMINI na NIMEPIKWA vyema na kwamba HAKUNA wa KUNIFANYA lolote.
Ni System ya Kipumbavu pekee duniani ndiyo itanyamaza pale hali ya Usalama wa nchi yotote ile ikiwa Mashakani ila System zote zitahakikisha zinakumaliza na hili wala siyo jambo la Kushangaza labda tu uwe Mpumbavu.
GENTAMYCINE nilipokuja na Uzi wa KUMUONYA na KUMSHAURI mapema sana hapa hapa JamiiForums na kumwambia aache Kumuamini Mzee mmoja Mstaafu (anayeheshimika Tanzania) aishiye Mabwepande sasa AKANIPUUZA na hata Members hapa mlinipuuza na sasa kimetokea kile kile nilichokionya.
Sina HURUMA kwa Mpumbavu asiyesikia.