Nilionya kuhusu Katompa nikapuuzwa

Kupitia watu Kama huyu mtoa mada ndio walinifanya niachane na siasa za Chadema ,ulikua huniambii kitu kuhusu Chadema ,Ila nilipokuja gundua Ni watu wa kupinga Kila Jambo hata lenye tija kwa nchi niliamua kuchoma Hadi kadi yao.

Kwa mtu alieangalia lile pambano huwez kumbeza kidunda kwa viwango hivyo ,yule mkongo Ni fighter mzuri Sana pia mvumilivu lakin hii game alikua anakaa raund ya 7 au 8 ,asingemaliza pambano.

Hadi mtu anapiga kichwa means ashazidiwa ,njia pekee ya kumpunguza makali kidunda ilikua Ni kifanya ule uhuni.

Majitu ya Bavicha ndio màana siku izi mmekosa uungwaji mkono kwenye siasa zenu na 2025 mnaenda kula kipigo Cha mbwa Koko ikiwezekana kufutika kabisa kwenye siasa màana nyie Ni Zaid ya wachaw Kila kitu Ni kupinga tu.
 
Mabondia wengi wa Jeshini hawana uwezo ila wanabebwa tu , Kidunda hawezi kumpiga Katompa hata wakirudia game mara 10 ...
Hivi wengine ngumi mnaangaliaje sasa lile pambano kwa unavyoona ww kidunda alikua kapigwa tuache kuviponda vya kwetu kuna vingine hatutakiwi ndyo kuvipa sifa zisizostahili lkn vingine kama mtu kaonyesha uwezo tumpe sifa huyo katompa unaemfagilia alivyoona maji yanazid unga akaona acheze faulo
 
Kupitia watu Kama huyu mtoa mada ndio walinifanya niachane na siasa za Chadema ,ulikua huniambii kitu kuhusu Chadema ,Ila nilipokuja gundua Ni watu wa kupinga Kila Jambo hata lenye tija kwa nchi niliamua kuchoma Hadi kadi yao...
Kweli kabisa mkuu shida ya Watanzania sisi ni wivu,chuki mtu anaona bora amsapoti mtu kutoka kwingine kuliko kumsapoti mbongo mwenzake shida nyingine kuna baadhi ngumi wameanza kuangalia kipindi hiki cha hv karibuni kwahyo hata hajui taratibu za boxing utakuta mtu anakurupuka huko na kujitolea maamuzi utasikia watanzania tunabebwa tuache utumwa huo
 
Huwezi kuwa umeangalia ngumi, Kama uliangalia basi huenda huzijui ngumi. Mabondia kutoka ngome wapo vizuri Sana, wengi wao huingia professional wakiwa wameiva na wana uzoefu wa kutosha maana hushiriki mashindano ya majeshi na jumuiya ya madola, Ila pia hua hawana kazi nyingine wameajiriwa kwa kazi hiyo Wana lipwa mshahara kwa kazi hiyo, maisha yao yote huishi kwenye ngumi tofauti na wengine wanaolazmka kutafuta hela ili kujikimu

Heb anza kuwafatilia JW Mara chache Sana kupoteza mchezo na hata Jana kidunda alitawala Sana mchezo ni wazi alikua anashinda kwa KO
Mabondia wengi wa Jeshini hawana uwezo ila wanabebwa tu , Kidunda hawezi kumpiga Katompa hata wakirudia game mara 10 .
...
 
huko kote alikoshiriki mashindano alileta nini ? ulichoandika hapa ndicho wengi wanaandika lakini hakuna ushahidi , hawa mabondia wa ngome ndio wanaongoza kwa utovu wa nidhamu mitaani , vurugu za kupiga raia kwenye Bar za Keko hawa ndio kazi yao , zaidi ya hicho hawana lolote lingine .

wafuatilie vizuri
Pelekeni hawa mabondia wakapigane nje ya nchi muone kitakachotokea
 
Huyo jamaa Ni wa kumpuuza tu fuatilia nyuzi zake ,yeye Ni mtu wa kupinga tu ,yaan Chadema imeharibu vijana Hadi wanakosa uzalendo kwa watanzania wenzao.

Alafu eti dizain ya watu Kama Hawa ndio wapewe nchi.
 
kumbe ni chuki binafsi sisi ya huko bar keko atuyajui tunazungumzia ngumi za Jana usiku, usituchanganishie mambo, hapa
 
Yaan unadhan kwamba hawa mabondia unawafuatilia peke yako story za kina Thomas mashali ndyo unatuletea mtaje bondia gn mwengine kampiga mtu bar shida umeanza fuatilia ngumi kipindi hiki azam tv walivyoupa thaman huo mchezo kwa uliyoyaandika inaonekana kabisa huu mchezo haujui ila sishangai ndyo tulivyo watz kitu mtu hajui lkn atakielezea kama anakijua
 
Mleta mada ujuaji mwingi kumbe gemu hata hajaangalia na hajui kanuni za vitasa mawe 😁ona kila mtu anamnyea na mada yake yakipuuzi😁
 
Sielewi wenzangu mlikuwa mnaangalia game ipi, mbona Kidunda alikuwa anaongoza kwa point kabla ya kuahirishwa pambano?[emoji44][emoji3061]
Kama huwaelewi watanzania utapata tabu....
Angeshinda wangesema amebebwa
Akishindwa wangesema hajui

Mi napitaga njia tu,tatizo umuchknow mwingi

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Vijana wa Mburahati mmekuja kumtetea jamaa yenu
 
Katompa alishaanza kuzidiwa katika lile pambano na Kidunda, ndio maana ikabidi hadi atumie kichwa na alikatwa pointi kabla ya pambano kusimamishwa.

Alianza kucheza rafu baada ya kuzidiwa. Kwa tunao angalia ngumi na kuzifuatilia tuliona wazi Kidunda alikuwa anaongoza pointi na asingepigwa kichwa angeshinda hata kwa knok out.

Binafsi nampongeza sana Kidunda, kwa lile pambano nimeamini ni bondia bora kabisa
 
Hahahaha usipite lugalo ubwa wewe
 
Mkuu ukicheza rafu ushinde anapewa mwenzako. Ile haikuwa Rafu ni bahati mbaya tu, game ilipaswa kuendelea hata sikuona jeraha la kuweza kuvunja pambano.
 
Mkuu ukicheza rafu ushinde anapewa mwenzako. Ile haikuwa Rafu ni bahati mbaya tu, game ilipaswa kuendelea hata sikuona jeraha la kuweza kuvunja pambano.
ungekuwa usha wai umia maeneo kama Yale ungekaa kimya tu, au ulitaka hadi apasuke jicho ndo ujue kaumia
 
Pamoja sana,yule dogo Juma Choki anajua sana,akipata kocha mzuri atapata mafanikio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…