Nilionya kuhusu Katompa nikapuuzwa

Nilionya kuhusu Katompa nikapuuzwa

Kidunda alikua captain wa Tanzania katika ngumi za ridhaa kwenye mashindano ya kimataifa, Amesha cheza Commonwealth games, Olimpic games sio bondia wa kubabaisha alikua mmoja wa mabondia tegeneo wa Tanzania katika mashindano ya kimataifa ya ridhaa.

Mimi naona amechelewa kuingia ngumi za kulipwa. Ukiacha faulo ya kupiga kichwa aliyocheza katompa bado Kidunda alikua akiongoza kwa point.

Msimchukulie poa Kidunda.

Bora tuliongalia ile mechi tucomment

Maana kuna watu hawakuona lolote ila wapo busy kumponda yule mjeshi tu

Kifupi jamaa alikuwa anaongoza point
 
Sielewi wenzangu mlikuwa mnaangalia game ipi, mbona Kidunda alikuwa anaongoza kwa point kabla ya kuahirishwa pambano?[emoji44][emoji3061]
Acha uongo ww, alikuwa anaongoza kivp? Ww ndo ulihesabu?
Mnatuletea siasa zenu za chuplichupli hata kweny ngumi..
 
Kupitia watu Kama huyu mtoa mada ndio walinifanya niachane na siasa za Chadema ,ulikua huniambii kitu kuhusu Chadema ,Ila nilipokuja gundua Ni watu wa kupinga Kila Jambo hata lenye tija kwa nchi niliamua kuchoma Hadi kadi yao.

Kwa mtu alieangalia lile pambano huwez kumbeza kidunda kwa viwango hivyo ,yule mkongo Ni fighter mzuri Sana pia mvumilivu lakin hii game alikua anakaa raund ya 7 au 8 ,asingemaliza pambano.

Hadi mtu anapiga kichwa means ashazidiwa ,njia pekee ya kumpunguza makali kidunda ilikua Ni kifanya ule uhuni.

Majitu ya Bavicha ndio màana siku izi mmekosa uungwaji mkono kwenye siasa zenu na 2025 mnaenda kula kipigo Cha mbwa Koko ikiwezekana kufutika kabisa kwenye siasa màana nyie Ni Zaid ya wachaw Kila kitu Ni kupinga tu.
Ni majinga sana ila msiwe mnayaaquilina na kuyamawazo,muache kuwa u a.
 
hakuna bondia yeyote Africa anayeweza kumpiga kidunda
Ana medali ngapi za madola ? alipopigwa na Katompa mbona mlimuokoa na kusingizia droo ? kwenye rank za dunia kidunda ni namba ngapi ? wadanganyeni wajinga
 
Hii tabia ya Azam kurudia rudia mapambano yaliyopita siyo nzuri unaona sasa mtoa mada Anawaza pambano la Dullah Mbabe na Katompa badala ya mpambano wa Kidunda mtu mbaya!

Kifupi Kidunda alikuwa anatoa kichapo kizuri tu kwa Mkongo
halafu ikawaje
 
huko kote alikoshiriki mashindano alileta nini ? ulichoandika hapa ndicho wengi wanaandika lakini hakuna ushahidi , hawa mabondia wa ngome ndio wanaongoza kwa utovu wa nidhamu mitaani , vurugu za kupiga raia kwenye Bar za Keko hawa ndio kazi yao , zaidi ya hicho hawana lolote lingine .

wafuatilie vizuri
Pelekeni hawa mabondia wakapigane nje ya nchi muone kitakachotokea

Wamuulze ibrah classic alpoenda urus wakarud kimya kmya
 
Ana medali ngapi za madola ? alipopigwa na Katompa mbona mlimuokoa na kusingizia droo ? kwenye rank za dunia kidunda ni namba ngapi ? wadanganyeni wajinga
toka ameanza kupigana ngumi za kulipwa kashinda fights zote kwa KO. Alimuokoa nani,hukuona damu?
Au ulitaka waendelee kupigana huku damu zinatoka?
 
Back
Top Bottom