Nilipakua chakula ugenini, wenyeji wakabaki kunishangaa

Prakatatumba abaabaabaa

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2022
Posts
1,842
Reaction score
6,087
Nadhani niliacha historia mbaya na sikurudi tena kwenye ile familia, nimemaliza form six naenda chuo, ikabidi mzee afanye mawasiliano na rafiki yake nipate pakufikia ili kesho yake nikaanze mchakato wa kutafuta hosteli.

Kufika jijini, nikapokewa na Mama mwenye nyumba, Baba alikua bado hajafika, nikaenda kuoga fresh nikakuta msosi kwenye hotpot wali na samaki kama mawili, mimi nikaenda mezani nikadhani nimetengewa peke yangu, msukuma nimetoka home tunakula kumaliza sio kushiba, nikasema acha nipige msosi, nikapakua chakula chote kwenye hotpot (japo kilikua kidogo tu sio kiingi) na samaki wawili nikapakua woote, nikaona yule mama ananiangalia pamoja na watoto wake, mimi sikujali nikapiga msosi woote kwenye hotpot, nikaenda kukaa kwenye sofa, nikaona wote wameondoka kama walikua hawaamini hivi, punde akaja Baba mwenye nyumba, kumbe bana kile chakula kilikua cha watu wawili na kingine kibaki wapige kiporo, nikamsikia yule mama anamlalamikia Mume wake, ""huyo mgeni wako ana tumbo pipa Kala chakula choote " sema Mume wake alikua na hekima, akaja kunisalimia, yule Mwanamke akaenda kupika tena ugali na dagaa nadhani, alivyotenga kwa kunikejeri akasema "karibu ule kwani umeshiba?....

Dah nikaona hapa nimejichanganya, asubuhi ilivyofika nikaenda kutafuta hosteli kabisa.

Vipi utaratibu wako ugenini ukoje? Unavunga? Au unaonyesha true identinty yako upande wa mlo?...binafsi kwenye chakula nafukia na sijivungi, kuna familia mnawabania watoto wenu chakula, pikeni chakula kingi weka kwenye hotpot, waachie watoto wale kujigalagaza, msijifanye mnabana matumizi, principle yangu mimi na umri wangu huu na hawa watoto wangu, kula ni kipaumbele cha kwanza tena wanakula haswaa.
 
😅😅😅maisha ni kujifunza 😅
 
Kwahiyo ukachukua vipande vitatu vyote peke yako

1724169556726.png
 
Hapakua na muongozo ni sawa tuu ulivyojilia zako chote...
 
Kaka prakatatumba abaa abaa sahau utajiri kabisa
 
Back
Top Bottom