Nilipata kutembelea Nepal Mwaka Huko Nyuma! Wamechelewa sana kumuondoa waziri mkuu wao

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,261
Reaction score
48,864
Namaste, Tike, Buri na Buda ndo maneno maarufu Nepal
Namaste iko Kama Indian ni salamu, Buri maana yake Mume, na buda ni mke,

Hali ya Nepali Kiuchumi
Nilifikia Kathamndul kwa Miezi miwili lengo ni kwenye kwenye trekking milima ya Everest

Kathamntul ndo mji mkuu wa Nepal uko na idadi kubwa ya watu! Ila haujapangiliwa kulingana na hadhi ya jiji !

Mwaka 2015 walikumbwa na tetemeko kubwa sana la ardhi ambalo ni kubwa kuliko yote kuwai kutokea Dunian umeacha alama kubwa ya maumivu!

Mji huo umejaa sana wasichana walimbwende yaan ukitua tu Nepal kila msichana anataka awe wako ili umsaidie kuondoka inchini humo! Kwa siku 60 nilizokaa kwa likizo ndefu nilipata kuwa na wasichana wapatao 5 nadhani japo sikufanya nao kitu !

Pesa ya Nepal haina thaman sana ila ni ngumu kupokea pesa kutoka nje ya Nepal , kupokea zaidi ya 1000£ lazima benk kuu iidhinishe na wengine ukataliwa, pia si kupokea tu, Bali hata kutuma ni shida huwezi tuma pesa !

Wana viwanja vya ndege Hatari sana ambavyo kila mwaka ajali lazima ! Japo lengo halikuwa kukaa mjini ila ilibidi
Nilienda hata phokhara Nilishangaa pamoja na utalii ule lakin nchi ni maskin sana

Mwenye ruhusu ya kuagiza gari la kifahari ni waziri mkuu na watoto wake! Wengine wameishia kuendesha vi gari vya hovyo sana !

Wamejazana sana wahamiaji haramu kutoka Pakistan na waharifu mbali mbali wa dunia’

Bar ni nyingi kuliko viwanda!

Elimu ya Nepal ni ya kuabudu sana ma Buddha hawataki elimu dunia, nilipata nafasi ya ku interact na vijana wadogo mawazo yao si shule Bali kuzijua nguzo Muhimu za dini ! Madaktari hawana wa kutosha wanavuka kihuni toka nchi nyinginezo kama India na Pakistan,

Benk ni chache sana , hata vibanda vya exchange ya Pesa ni vichache sana

Mawaziri na viongozi wamejenga wao majengo Makali kuliko ya Taasisi za serikali

Wana magari mazuri kuliko ambulances

Rushwa ni kubwa sana kule !

Umaskini juu ya Umaskini

Huduma za hospitalin wananchi wanazalia chini kama ilivyo baadhi ya maeneo Tanzania

Walimu wanaongoza kwa kucheza kamari local ile ya mtaani ya kuwekeana pesa !

Madaktari feki wanajazana kwenye vituo duni vya afya kuchukua Rushwa kumbe wamevaa makoti tu

Uchaguzi wao Chama tawala uwa kinashinda kwa asilimia 90 na Mpinzani uwa Anafungwa kila uchaguzi

Tume Yao ya uchaguzi baada ya kumpiga chini Kiongozi wao wa zamani wa ki falme. Sasa wakaweka tume inayoundwa na familia ya waziri mkuu na marafiki wa karibu!

Huruhusiwi kuchapisha maudhui au picha ambayo waziri mkuu ataonekana anatia aibu

Mtoto wa waziri mkuu mkubwa anahusika kwenye mipango ya nchi na bajet
 
ocr_screenshot_1757445669.png
ocr_screenshot_1757445709.png
 
Tanzania hatupo peke yetu kumbe, tofauti tu wanepal wana ujasiri kutuliko.
 
Mabinti wa ki Nepal wengi wanachukuliwa kwenda Dubai kufanya kazi za ndani na massage centre. Pesa yao haina thamani, Wa Nepal waliopo Dubai wakimuona mwenzao wa Nepal kaishiwa visa na hana kazi huwa wanachukua jukumu la kumsaidia
 
Yes niliwahi kutana nao. Abu Dhabi aisee ila nimetenmbea nchi kibao
 
Back
Top Bottom