Nilipata kutembelea Nepal Mwaka Huko Nyuma! Wamechelewa sana kumuondoa waziri mkuu wao

Watu wa Nepal ni poa sana ila asilewe.

Wakilewa pombe huwa ni wakorofi sana na kupigana ni jadi yao na huja wote.

Makazini ni wanafiki sana na huweza kukuondoa kimkakati sana ili wamuweke mwenzao.

Tatizo kubwa la Nepal ambayo ni sawa na ilivyo Bahrain ni kuwepo kwa utawala wa kifalme ambao huwasahau kabisa watu wengine.

Hivyo ufalme ulipoondolewa mwaka 2008 kukawa hakuna njia ingine ya kujiongeza kwa serikali ambayo wengi wa mawaziri wake ni wale walokuwa kwenye mtandao wa kifalme.

Kwahiyo uchumi na matatizo ya kijamii ambayo imegawanyika kwa koo mbalimbali ndo sababu kubwa ya kutokea yalotokea.

Watu wa Nepal hufahamiana na kutambuana kwa koo kama Gurung, Bamber, Surikai, Limbu na mengine.

Mabinti wa Nepal ni wazuri sana khasa akizoea kupanda SGR na kuweka ujazo wa 5G ya uhakika atakusumbua sana.

Lakini wanaume wao wana wivu sana wakigundua binti amepata SGR ya 5G kutoka kwa Kimkombo Kingambo.
 
Mungine anauliza
mbona vijana wabongo hawachukui hatua kwa watawala wao??
Jibu
. huwenda vijana wa kibongo hawaamini wanasiasa kuwa ndo wakuwatetea kwenye magumu ya maisha yao, yaana wanawaona matumbo mbele tuu
Pia huwenda vijana wa bongo vyuma havijakaza zaidi kushinda wenzao wa Kenya au huko Nepal, yaani wabongo wanalia maisha magumu ila wanakula wanalala
 
Nimemiss trekking na amarpuna
 
Kuna nchi nyingi xina makosa kaka.Tutakutana safarini tukiwa wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…