Nilipata maambukizi ya 'gono' wiki chache zilizopita, nimetumia dawa ila zimedunda. Naombeni mawazo yenu

Laiti ningelijua ..............
 
Chemsha mchanganyiko wa maganda ya nanasi, weka mchaichai, ponda tangawizi kisha uwe unakunywa.

usiweke sukari wala nini, weka maji lita 1.5 tu hakikisha yameiva hasa
Mbona kama dawa ya UTI hii mkuu?
 
Pole sanaa zipo dawa asili zitakazokusaidia, wasiliana nami kupata
 
Leo ni mwezi mmoja tangu uombe msaada, vipi progress
 
Oya mzee hii isue ndo inanitesa mm saiz ulitumia dawa gani ukakaa sawa au bado imekung'ang'ania
 
pweinti ni zilezile
â– kumrudia muumba wako
â– kujijali
â– kujithamini
â– kunywa maji kwa wingi
â– kulala mapema
â– kuzingatia muda wa kula dawa
â– kufanya mazoezi
â– kula mlo kamili wenye matunda na mbogamboga
■kukaa mbali na haters na negativities🚮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…