The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Njoo PMKumbe inatakiwa upigwe powersafe tani
Duuh mkuu mbona kazi san
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo PMKumbe inatakiwa upigwe powersafe tani
Duuh mkuu mbona kazi san
Nilishatafuta wa nje, wanataka kulipwa kwa dollar, changamoto pia mtu anayekuwa mbali usimamizi unakuwa changamoto.Aaah fine... Unatafuta wa humu humu tu au
Aah jaribu kucheck utapata tuNilishatafuta wa nje, wanataka kulipwa kwa dollar, changamoto pia mtu anayekuwa mbali usimamizi unakuwa changamoto.
Roho mbaya aache kuwa nayo pisi kali iliyokupa gono niwe nayo mimi??? 🤣🤣si mnajisifiaga umalaya nyie pambana kabla kadudu hakajaacha mwili wako,Wewe mdada mbona unaroho mbaya sana unijui sikujui sasa sijui uajiskia furaha gani kuniona nikiteseka
Pole Mkuu kwa maradhi yako ya gono nitafute mimi ili nipate kukutibia maradhi yako upate kupona maradhi yako uguwa pole.Nilipata maambukizi ya gono wiki chache zilizopita nakaenda kupima nikaandikiwa sindano 5 za Alcef Ceftriaxone injection 1000mg pamoja na vidonge vya Metronidazole vya kumeza kwa wiki moja.
Ni kwamba siskii maumivu yoyote wakati wa kukojoa ila ishu ni kuwa uume unakuwa unatoa vimaji maji mara zote unapokuwa unajaribu kuukamua kwenye kichwa, na kutoa vitu kama usaha mara moja moja sana hasa wakati wa asubuhi unapoamka kwenda maliwatoni.
Sasa baada ya kutokuona mafanikio ya hizo dawa bac nilienda hospitali nyingine nikamuona daktari akaniambia hapo ni vema sasa uchome sindano moja tu ya power self itamaliza tatzo lako pia akaniandikia na vidonge aina ya Doxy nitumie ili nikae sawa.
Bac nikalipia hizo gharama nikachomwa hiyo power self na vidonge nikaanza kumeza hiyo ilikuwa jumanne ya wiki hii lakini mpaka leo bado sijaona mafanikio yoyote.
Leo nikampigia huyo daktari simu nikamueleza nayeye akashangaa ni kwanini powerself na doxy kudunda jambo ambalo si kawaida sasa wakuu hapa nifanye kitu gani maana nimeshachoka kutumia pesa kwa jambo lisilo na mafanikio.
Naombeni mawazo yenu viongozi hali ni mbaya sana.
Na tujiadhali tuache ngono zembe mimi kilichinikuta haki Mungu anisamehe sirudii tena
Hapana Mkuu hii ni tiba kweli, wajua maarifa Hupatika kwa watuUnataka kumuua???
Mjinga wewe unataka jamaa afe sioNunua Chrophenical 12 mimina unga changanya na glass moja ya Konyangi, kunywa mara moja, masaa manane hutoona usaha hata kidogo zaidi Utakojoa sana
Hii ni dawa kweli au kama ataona kuchanganya pombe sio atumie limao nane au kumi na mbili akamue maji glassMjinga wewe unataka jamaa afe sio
Dogo acha wenge ushapona uwa iko hivyo usaha unaenda unakata kidogo kidogoMKuu kuvuja kumepungua kabisa na boksa sichafui labda nikiminya uume kwa mbele ndio vinatoka vitu kama mkojo ila saiv sichafuki mara kwa mara sema leo asubuh nlivyoamka ndio niliona uchafu kama usaha kidogo hapo ndio nikapata presha tena
Nenda hospital watakupina vizuriNilipata maambukizi ya gono wiki chache zilizopita nakaenda kupima nikaandikiwa sindano 5 za Alcef Ceftriaxone injection 1000mg pamoja na vidonge vya Metronidazole vya kumeza kwa wiki moja.
Ni kwamba siskii maumivu yoyote wakati wa kukojoa ila ishu ni kuwa uume unakuwa unatoa vimaji maji mara zote unapokuwa unajaribu kuukamua kwenye kichwa, na kutoa vitu kama usaha mara moja moja sana hasa wakati wa asubuhi unapoamka kwenda maliwatoni.
Sasa baada ya kutokuona mafanikio ya hizo dawa bac nilienda hospitali nyingine nikamuona daktari akaniambia hapo ni vema sasa uchome sindano moja tu ya power self itamaliza tatzo lako pia akaniandikia na vidonge aina ya Doxy nitumie ili nikae sawa.
Bac nikalipia hizo gharama nikachomwa hiyo power self na vidonge nikaanza kumeza hiyo ilikuwa jumanne ya wiki hii lakini mpaka leo bado sijaona mafanikio yoyote.
Leo nikampigia huyo daktari simu nikamueleza nayeye akashangaa ni kwanini powerself na doxy kudunda jambo ambalo si kawaida sasa wakuu hapa nifanye kitu gani maana nimeshachoka kutumia pesa kwa jambo lisilo na mafanikio.
Naombeni mawazo yenu viongozi hali ni mbaya sana.
Na tujiadhali tuache ngono zembe mimi kilichinikuta haki Mungu anisamehe sirudii tena
Nimeona tiktok ila sielewi kabisa...Sorry kwa kuingilia thread... Hivi huyu jamaa kwenye picha ni anatumia uchawi au?
Linapatikana wapi hilo mkuuOyaa kama umepona sema nkupeleke chimbo la watoto wasafiii ..hata ukipata ugonjwa hautokua sugu ..ni pisi kali hata uti zao ziko romantic
Na yale maji maji japo ayatoki tena kama mwanzo ila ukiminya kichwa cha uuume ndio yanatoka kidogo c mengi pia yanaweza kukata baada ya muda ganiDogo acha wenge ushapona uwa iko hivyo usaha unaenda unakata kidogo kidogo