Nilipata maambukizi ya 'gono' wiki chache zilizopita, nimetumia dawa ila zimedunda. Naombeni mawazo yenu

Nilipata maambukizi ya 'gono' wiki chache zilizopita, nimetumia dawa ila zimedunda. Naombeni mawazo yenu

MKuu kuvuja kumepungua kabisa na boksa sichafui labda nikiminya uume kwa mbele ndio vinatoka vitu kama mkojo ila saiv sichafuki mara kwa mara sema leo asubuh nlivyoamka ndio niliona uchafu kama usaha kidogo hapo ndio nikapata presha tena
Oook oky...
Basi ushapona hapo mkuu
Ila kama ukiona bado kuna shida itabidi ufanyiwe balloon trans pulling chap tuu
 
Back
Top Bottom