Nilipata maambukizi ya 'gono' wiki chache zilizopita, nimetumia dawa ila zimedunda. Naombeni mawazo yenu

Nilipata maambukizi ya 'gono' wiki chache zilizopita, nimetumia dawa ila zimedunda. Naombeni mawazo yenu

Pole sana kiongozi.
Zingatia sana mazoezi ya mwili, pia kunywa maji safi na salama(mara kwa mara).
Wacha kutumia kila dawa, utaleta shida mingine kwenye mfumo wako wa mwili.
Hakikisha huyo aliyekuambukiza hilo dubwana unamchana na kama ni kisasi utajua cha kufanya(ateseke na yeye).
Sali sana kwa imani yako(Mungu atakuponya).

Hallelujah!!!
Hili ndilo tatizo huyu hanywi maji ya kutosha
 
Hizo ndiyo faida ngono
Kupiga kavu kavu
Mkiambiwa mvae condom mnasema zinawabana
Mkiambiwa ngono ni gharama hamsikii
Check gharama zake
Ulilipia chumba
Ulilipia msos
Ulimpa pesa ya posho
Ulitumia nauli
Ulipoteza muda wako
Alikupa zawad ya gono
Unahangaika kumeza madawa tena makali hizo zinaitwa strong antibiotics ukitumia mara kwa mara unaharibu maini,na figo
😹😹😹 basi inatosha utamzidisha maumivu mgonjwa
 
Back
Top Bottom