FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Kuna ushauri mzuri zaidi ya huo kwa mtu anayetibiwa haponi?Mkiwa amna mawazo ya kuwashauri watu muwe mnakaa kimya kenge maji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna ushauri mzuri zaidi ya huo kwa mtu anayetibiwa haponi?Mkiwa amna mawazo ya kuwashauri watu muwe mnakaa kimya kenge maji
Uzinzi na uasherati ni uchafu, msiukaribie.Acha ujinga unadhani ukimwi tunagawana kama vyeo vya ccm
Is that my business?KAka naishi geto sina kikombe wala kijiko mkuu
Hili ndilo tatizo huyu hanywi maji ya kutoshaPole sana kiongozi.
Zingatia sana mazoezi ya mwili, pia kunywa maji safi na salama(mara kwa mara).
Wacha kutumia kila dawa, utaleta shida mingine kwenye mfumo wako wa mwili.
Hakikisha huyo aliyekuambukiza hilo dubwana unamchana na kama ni kisasi utajua cha kufanya(ateseke na yeye).
Sali sana kwa imani yako(Mungu atakuponya).
Hallelujah!!!
😹😹😹mtaani wananiita hanisi kwakuwa hawajawahi niona na demu
wao kila siku naona maboksi ya Azuma yakitupwa pembeni
😹😹😹 basi inatosha utamzidisha maumivu mgonjwaHizo ndiyo faida ngono
Kupiga kavu kavu
Mkiambiwa mvae condom mnasema zinawabana
Mkiambiwa ngono ni gharama hamsikii
Check gharama zake
Ulilipia chumba
Ulilipia msos
Ulimpa pesa ya posho
Ulitumia nauli
Ulipoteza muda wako
Alikupa zawad ya gono
Unahangaika kumeza madawa tena makali hizo zinaitwa strong antibiotics ukitumia mara kwa mara unaharibu maini,na figo
😹😹😹😹 Ila waungwana mnaweza kuua watu na ushauri wenuTafuta hii dawa ya moxi 50%
Ni ya ng'ombe lakini utanishukuru baadae.
NB, UKIDUNGWA SINDANO JIANDAE KUTAPIKAView attachment 3046144
😹😹😹Demu aliyekupa ni pisi Kali?
😹😹😹 khaaaa.!!!Pisi Kali hawagi na hayo mauvundo,ni Hawa mademu wa kutolea ugwadu njaa Kali wa mtaani.
Jamaa hakuwa na pesa ndio maana yamemkumba 😂😂
😹😹😹 kantangaze, umenikumbusha wale wadudu wanaoharibu nyanya ni balaa haoHiyo inaitwa mwanaukome, kanitangaze hiyo, koma ukomae uliyataka mwenyewe
Ili usizione basi usiwe miongoni mwa wafanya upuuzi kama mleta uzi.Huwa nakereka sana post hizi ambazo sio ushauri wa kidakitari
Ndo kama hiyo akonayo huyo, alijifanya kitombile saiv yupo kututangazia yaliyomsibu mwenyewe mkorofi atakuwa kashaunasa na kadudu kake kakikatika itapendeza sana😹😹😹 kantangaze, umenikumbusha wale wadudu wanaoharibu nyanya ni balaa hao
Hivi wenzetu hawaogopi magonjwa??Ndo kama hiyo akonayo huyo, alijifanya kitombile saiv yupo kututangazia yaliyomsibu mwenyewe mkorofi atakuwa kashaunasa na kadudu kake kakikatika itapendeza sana
Gono linawanyolosa km hivi si hawataki kuvituliza we ndudu kutoa usaha aiiii hadi kinyaaaHivi wenzetu hawaogopi magonjwa??
Mtu mmeokotana tayari mnaaminiana mnabanjuana bila kinga.!!
Ama tumpe powercef za kimeza??😀itakuwa ni ile Gono BRT ya Kenya
pole sana
😹😹😹 wee muache ajishaue asije kukuambukiza dada angu bure.!!Yupo kulisakua ligonorea🤣🤣🤣