Nilipata maambukizi ya 'gono' wiki chache zilizopita, nimetumia dawa ila zimedunda. Naombeni mawazo yenu

Nilipata maambukizi ya gono wiki chache zilizopita nakaenda kupima nikaandikiwa sindano 5 za Alcef Ceftriaxone injection 1000mg pamoja na vidonge vya Metronidazole vya kumeza kwa wiki moja.

Ni kwamba siskii maumivu yoyote wakati wa kukojoa ila ishu ni kuwa uume unakuwa unatoa vimaji maji mara zote unapokuwa unajaribu kuukamua kwenye kichwa, na kutoa vitu kama usaha mara moja moja sana hasa wakati wa asubuhi unapoamka kwenda maliwatoni.

Sasa baada ya kutokuona mafanikio ya hizo dawa bac nilienda hospitali nyingine nikamuona daktari akaniambia hapo ni vema sasa uchome sindano moja tu ya power self itamaliza tatzo lako pia akaniandikia na vidonge aina ya Doxy nitumie ili nikae sawa.

Bac nikalipia hizo gharama nikachomwa hiyo power self na vidonge nikaanza kumeza hiyo ilikuwa jumanne ya wiki hii lakini mpaka leo bado sijaona mafanikio yoyote.

Leo nikampigia huyo daktari simu nikamueleza nayeye akashangaa ni kwanini powerself na doxy kudunda jambo ambalo si kawaida sasa wakuu hapa nifanye kitu gani maana nimeshachoka kutumia pesa kwa jambo lisilo na mafanikio.

Naombeni mawazo yenu viongozi hali ni mbaya sana.

Na tujiadhali tuache ngono zembe mimi kilichinikuta haki Mungu anisamehe sirudii tena
Io ngoma haifai kabisa nishawai kukutwa nayo dawa zote zilidunda mpaka sindano
 
Tumia dawa ya Kienyeji siijui inaitwaje ila ukitumia ndani ya 24hrs inapona. Kuna mwamba ilimtokea kama wewe hivyo hivyo akaitumia siku moja tu akapona na ilikuwa ipo kwenye stage mbaya sana.

Kama upo maeneo ya Mbezi Malamba awili ulizia kwa DR Mila
 
Nilipata maambukizi ya gono wiki chache zilizopita nakaenda kupima nikaandikiwa sindano 5 za Alcef Ceftriaxone injection 1000mg pamoja na vidonge vya Metronidazole vya kumeza kwa wiki moja.

Ni kwamba siskii maumivu yoyote wakati wa kukojoa ila ishu ni kuwa uume unakuwa unatoa vimaji maji mara zote unapokuwa unajaribu kuukamua kwenye kichwa, na kutoa vitu kama usaha mara moja moja sana hasa wakati wa asubuhi unapoamka kwenda maliwatoni.

Sasa baada ya kutokuona mafanikio ya hizo dawa bac nilienda hospitali nyingine nikamuona daktari akaniambia hapo ni vema sasa uchome sindano moja tu ya power self itamaliza tatzo lako pia akaniandikia na vidonge aina ya Doxy nitumie ili nikae sawa.

Bac nikalipia hizo gharama nikachomwa hiyo power self na vidonge nikaanza kumeza hiyo ilikuwa jumanne ya wiki hii lakini mpaka leo bado sijaona mafanikio yoyote.

Leo nikampigia huyo daktari simu nikamueleza nayeye akashangaa ni kwanini powerself na doxy kudunda jambo ambalo si kawaida sasa wakuu hapa nifanye kitu gani maana nimeshachoka kutumia pesa kwa jambo lisilo na mafanikio.

Naombeni mawazo yenu viongozi hali ni mbaya sana.

Na tujiadhali tuache ngono zembe mimi kilichinikuta haki Mungu anisamehe sirudii tena
Kwahiyo ukachoma Alcef 5 hujapona Kisha ukaenda tena kwa Daktar akakuambia uchome powercef 1 ndio itafanya kazi!!

Ukisikia kazini Kuna kazi ndio huku sasa.
 
Nilipata maambukizi ya gono wiki chache zilizopita nakaenda kupima nikaandikiwa sindano 5 za Alcef Ceftriaxone injection 1000mg pamoja na vidonge vya Metronidazole vya kumeza kwa wiki moja.

Ni kwamba siskii maumivu yoyote wakati wa kukojoa ila ishu ni kuwa uume unakuwa unatoa vimaji maji mara zote unapokuwa unajaribu kuukamua kwenye kichwa, na kutoa vitu kama usaha mara moja moja sana hasa wakati wa asubuhi unapoamka kwenda maliwatoni.

Sasa baada ya kutokuona mafanikio ya hizo dawa bac nilienda hospitali nyingine nikamuona daktari akaniambia hapo ni vema sasa uchome sindano moja tu ya power self itamaliza tatzo lako pia akaniandikia na vidonge aina ya Doxy nitumie ili nikae sawa.

Bac nikalipia hizo gharama nikachomwa hiyo power self na vidonge nikaanza kumeza hiyo ilikuwa jumanne ya wiki hii lakini mpaka leo bado sijaona mafanikio yoyote.

Leo nikampigia huyo daktari simu nikamueleza nayeye akashangaa ni kwanini powerself na doxy kudunda jambo ambalo si kawaida sasa wakuu hapa nifanye kitu gani maana nimeshachoka kutumia pesa kwa jambo lisilo na mafanikio.

Naombeni mawazo yenu viongozi hali ni mbaya sana.

Na tujiadhali tuache ngono zembe mimi kilichinikuta haki Mungu anisamehe sirudii tena
Pole sana nafuatilia Kwa makini sana mjadala.
 
Vijana acheni ngono zembe mtakuja kufa kibudu.

Ila Kuna pisi moja ya saluni mashaallah "nyama nyingi mfupa
kidgo" Huwa inaniita mume wangu Kila nikitaka kuikanda nikifikiria haya mambo stimu zote zinakata.

Nilikuwaga na mwana mmoja kule Unguja yeye alikuwa anavusha mademu kutoka Tanganyika ilikuwaga akiingia kwenye site zao anaimbisha wakishakubaliana mwanamke anatumiwa nauli akifika anampeleka hospital anamcheki vipimo vyote vya magonjwa ya zinaa pamoja na mimba Kisha ndio anaanza kula vitu anaweza akamkanda demu week nzima Kisha anamrudisha alipotoka igeni huu mfano mtakuja kunishukuru baadae.
 
Pengine ulichelewa kupata tiba nakumbuka mwaka jana ili nikuta baada ya kuona tu nikaenda hospital nikapewa vidonge vya Ceftriaxone ,, iyo hali ika isha na nika rudia vipimo sikua nayo hadi leo
 
Nilipata maambukizi ya gono wiki chache zilizopita nakaenda kupima nikaandikiwa sindano 5 za Alcef Ceftriaxone injection 1000mg pamoja na vidonge vya Metronidazole vya kumeza kwa wiki moja.

Ni kwamba siskii maumivu yoyote wakati wa kukojoa ila ishu ni kuwa uume unakuwa unatoa vimaji maji mara zote unapokuwa unajaribu kuukamua kwenye kichwa, na kutoa vitu kama usaha mara moja moja sana hasa wakati wa asubuhi unapoamka kwenda maliwatoni.

Sasa baada ya kutokuona mafanikio ya hizo dawa bac nilienda hospitali nyingine nikamuona daktari akaniambia hapo ni vema sasa uchome sindano moja tu ya power self itamaliza tatzo lako pia akaniandikia na vidonge aina ya Doxy nitumie ili nikae sawa.

Bac nikalipia hizo gharama nikachomwa hiyo power self na vidonge nikaanza kumeza hiyo ilikuwa jumanne ya wiki hii lakini mpaka leo bado sijaona mafanikio yoyote.

Leo nikampigia huyo daktari simu nikamueleza nayeye akashangaa ni kwanini powerself na doxy kudunda jambo ambalo si kawaida sasa wakuu hapa nifanye kitu gani maana nimeshachoka kutumia pesa kwa jambo lisilo na mafanikio.

Naombeni mawazo yenu viongozi hali ni mbaya sana.

Na tujiadhali tuache ngono zembe mimi kilichinikuta haki Mungu anisamehe sirudii tena
Ndugu mwana jamii forum unajisikiaje baada ya kuchoma cefriaxone kila mara unapoumwa UTI gono na magonjwa mengine ambayo ukienda vichochoroni kimbilio lao ni ceftriaxone. leo umekula za siku tano zimedunda unahaha tupe stori kidogo hiyo dawa umeitumia mara ngap na uliitumiaje, pia nataka kujua ukiumwa utaacha lini kwenda vichochoroni kutibiwa

Gonorrhoea kwa mwanaume unameza dawa mbili za mara moja tu, kwa mwanamke anameza hizo mbili plus moja ya siku Saba na mnatakiwa mtibiwe wote kwa pamoja kulingana na mwongozo Ambapo baada ya siku saba mnarudi tena hospitali sio vichochoroni kama bado tatizo lipo mnapewa dawa zingine mwanaume dawa tatu mwanamke dawa nne baada ya siku saba zingine mnarudi tena iwe mmepona or bado hamjapona.
Staki unijibu maana utajitetea jitathmini kulingana na hayo nliyoyasema hapo juu.
 
Back
Top Bottom