Nilipenda nisipopendwa

Hivi unajua mtu kukuchezea ni wewe mwenyewe unampa hiyo power?

Umem-entertain, hata huyo bwanako mpya naye ana walakini kukubali kuzungushwa kama pia.

Hivi fulani kweli utamkerembesha hivi aelewe? Anakupiga chini wewe na huyo bwana wa zamani wote.

Inategemea na umri pia.
 
poke mdada, funguka kwa hyo bwana mpya. mweleze ukweli na daima ukweli humweka mtu huru. kama hatakuelewa papo hapo atakuelewa bdae!
 

Kumbe viloba vinasaidia umeandika vizuri sana safi kabisaa!
 
Umeniibia maneno yangu.
 
vipi jasmin umeshaongea nae, maana ndio muda wa free huu, tujuze! tujuze! maana jf tunapeana mbinu nyingi tungependa kujua na matokeo ili tuzidocument
 
WanaJF mko juu nawashukuru sana wote kwa ujumla kwa ushauri wenu mzuri aisee nimefurah sana. nimeongea nae mpenzi wangu kwa kirefu nashukuru mungu amenielewa sasa nafikiria nimfanyeje huyu anayetaka kuniharibia mahusiano yangu na m2 anaenijali na kunithamini
 
aaah! mbona unataka kuharibu tena, si umpotezee tu na namba ufute, ushari wa nini tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…