Bazazi
JF-Expert Member
- Aug 18, 2008
- 2,806
- 3,485
Umeshamtamani na kumpenda ghafla qa avatar tu. Kazi qeli qelimaster nataka nami niweke picha yngu kama ww je nifanyeje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeshamtamani na kumpenda ghafla qa avatar tu. Kazi qeli qelimaster nataka nami niweke picha yngu kama ww je nifanyeje?
Naona wengi wametoa ushauri mzuri sana. Kweli, kaa chini mwambie ukweli huyo mpenzi wako wa sasa, mwambie nini kinachoendelea, usimfiche chochote. Halafu, huyo mwanaume wa zamani anaonekana mshamba sana, how come alikuwa anakutesa kihivyo? Yaani anaongea na simu na mpenzi wake mbele yako? Tatizo kuna wanaume wengine wakijua mwanamke amekufa kimapenzi wanaitumia hiyo chance vibaya. Pole sana dada.
yaani we acha tu ndugu yangu yaani aliniumiza vibaya sana.
Kumbe viloba vinasaidia umeandika vizuri sana safi kabisaa!
Umeniibia maneno yangu.Hivi unajua mtu kukuchezea ni wewe mwenyewe unampa hiyo power?
Umem-entertain, hata huyo bwanako mpya naye ana walakini kukubali kuzungushwa kama pia.
Hivi fulani kweli utamkerembesha hivi aelewe? Anakupiga chini wewe na huyo bwana wa zamani wote.
Inategemea na umri pia.
hahahahaaa. Aggrey, sio mimi niliyepiga viroba, ni Senetor... Mimi situmii hivyo vitu.
It's ok, Usijali mkuu. Pamoja. 🙂Ohoooh.....pole Apollo naona macho kidogo yalidanganya hapo!!
mbona hukurudi tena au sindano zilikulevya?
aaah! mbona unataka kuharibu tena, si umpotezee tu na namba ufute, ushari wa nini tena!