Nilipigwa na mpenzi wangu kipigo cha mbwa koko mjane

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
27,031
Reaction score
49,928
Huyu jamaa bwana alikuwa mchumba wangu, mchumba kweli yaani pale ningetaka ningepata makaratasi ya ndoa kabisa.

Siku ilikuwa Jumamosi nikaenda kwake alikuwa ameenda China so aliniomba nikamfanyie mausafi home kwake. Nikafanya mausafi nini, kuna mauchafu nikaona niyachome.

Katika kuyachoma niliyachoma chini ya mti flani hivi, so kuna baadhi ya majani yakaungua ila sio kiviile.

Akarudi usiku nini, baby baby kama zote.
Asubuhi akaamka kwenda nje kucheki mbwa wake akaona ule mti umeungua.

Alirudi ndani mimi nilikuwa nimelala, nilishangaa kitu kimetua usoni nikadhani nyumba inanibomokea nini, mambo ya earthquake. Jamani nilipigwa mimi mama yangu weeee. Nilipigwa kipigo cha mbwa koko yatima.

Nilipigwa jamani! Kumbuka hapo napigwa sijui hata nimefanya nini, nikasema jamaa kawa chizi au nini?

Bahati nzuri jamaa si alikuwaga anaenda China last time alikuja na subwoofer flani yenye speakers za kusimama. Na mimi ndo nilikuwa nimetoka kuzifunga jana yake room, nilichomoa moja nikamuwasha nayo mkono nikamuona ameinama nikakimbilia bafuni nikajifungia. Hapo mkumbuke nyumbani nilikuwa naishi na wazazi, niliaga naenda harusini sijui wapi, natakiwa nirudi home huku nimepigwa kama nimegongwa na semi.

Yaani nilipigwa, nilipigwa mimi, mama mama acheni!

Kuna mtu anapiga simu itaendelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pole mkuu bt mambo kama hizo hutokea katika mahusiano, kuna wanaume ni watu wa action kabla ya maelezo hadi unaweza mdhania kachizi alafu watu wa aina hiyo ndo wanapendwa sana na dadaz
 
Sawa..
unnamed.gif

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa bwana alikuwa mchumba wangu, mchumba kweli yaani pale ningetaka ningepata makaratasi ya ndoa kabisa.

Siku ilikuwa Jumamosi nikaenda kwake alikuwa ameenda China so aliniomba nikamfanyie mausafi home kwake. Nikafanya mausafi nini, kuna mauchafu nikaona niyachome.

Katika kuyachoma niliyachoma chini ya mti flani hivi, so kuna baadhi ya majani yakaungua ila sio kiviile.

Akarudi usiku nini, baby baby kama zote.
Asubuhi akaamka kwenda nje kucheki mbwa wake akaona ule mti umeungua.

Alirudi ndani mimi nilikuwa nimelala, nilishangaa kitu kimetua usoni nikadhani nyumba inanibomokea nini, mambo ya earthquake. Jamani nilipigwa mimi mama yangu weeee. Nilipigwa kipigo cha mbwa koko yatima.

Nilipigwa jamani! Kumbuka hapo napigwa sijui hata nimefanya nini, nikasema jamaa kawa chizi au nini?

Bahati nzuri jamaa si alikuwaga anaenda China last time alikuja na subwoofer flani yenye speakers za kusimama. Na mimi ndo nilikuwa nimetoka kuzifunga jana yake room, nilichomoa moja nikamuwasha nayo mkono nikamuona ameinama nikakimbilia bafuni nikajifungia. Hapo mkumbuke nyumbani nilikuwa naishi na wazazi, niliaga naenda harusini sijui wapi, natakiwa nirudi home huku nimepigwa kama nimegongwa na semi.

Yaani nilipigwa, nilipigwa mimi, mama mama acheni!

Kuna mtu anapiga simu itaendelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pombeee eeee
pombeeeee ukizidish inkuwa nomaaa
 
Usiku alikula kimasihara na asubuhi akakupiga kimasihara ndio dawa yenu ninyi

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom