Nilipima uzito nikapata vipimo kilo 80.5 lakini umri wangu ni 22 je kuna tatizo?

Nilipima uzito nikapata vipimo kilo 80.5 lakini umri wangu ni 22 je kuna tatizo?

Urefu wako ni futi ngapi?? Na ni male au female?? Kwa umri wako obviously upo over weight.... Fanya mazoezi uepuke mqgonwa ya uzito uliopitiliza

Sent using Jamii Forums mobile app
mimi ni MALE

urefu sijapima ila nikisimama mlangoni nakalibia kufika on top mm kwa kiganja kimoja tuu
 
Kama una urefu wa at least 178 Cm mpaka 200 cm hizo kg 80.5 hazina tatizo..uko healthy tu. Hiyo ni kulingana na hesabu za Body Mass Index.
 
wakuu kwa urefu wangu chukulia kitanda cha 4 kwa 6 (you know what it mean) yaani nikilala natosha kabisa bila kubaki any space
 
Back
Top Bottom