Black hermit
JF-Expert Member
- Mar 20, 2017
- 658
- 951
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila shaka utakuwa ni mlango wa chooni huourefu sijapima ila mfano nikisimama mlangoni nakalibia kufika kwa kiganja kmoja
Mlango wa gari au wa bahari!?
Pima urefu
urefu -100= jibu utakalopata ndio unatakiwa uwe uzito wako.
Hahaaa. Aiseee. Sijawahi ichukia jf.Mlango wa gari au wa bahari!?
Ila jf ina raha sana shemeji. Ukiwa na hasira zote zinakwishaHaaaa haaaa haaaa haaaaaa,
Leo kweli nimecheka sana.
Huo utakuwa ni mlango wa bajaji.