Urefu wako uko ngapi tukusaidie kucalculate BMImsaada wa mawazo ya kiafya wakuu kuhusu hili.
bado sijapima urefu ila nikisiimama kwenye mlango nazidi kama kwa kganja kimoja tuuuMmmh miaka na uzito mbona kama haviendani..!? Hebu taja na urefu wako kimo chake
Sent using Jamii Forums mobile app
mimi ni MALEUrefu wako ni futi ngapi?? Na ni male au female?? Kwa umri wako obviously upo over weight.... Fanya mazoezi uepuke mqgonwa ya uzito uliopitiliza
Sent using Jamii Forums mobile app
Ina mana una futi zaid ya nane. Mana mlango kikawaida ni futi nane. Na je ukilala kitandani vipi unatosha au miguu inaelea?bado sijapima urefu ila nikisiimama kwenye mlango nazidi kama kwa kganja kimoja tuuu
Fanya upime urefu utupe vipimo tufanye hesabu ili tukupe jibu mujaraburefu sijapima ila mfano nikisimama mlangoni nakalibia kufika kwa kiganja kmoja
nimepata mfan mzuri ambao nikilala kitandani natosha kabisa bila kubaki space.Fanya upime urefu utupe vipimo tufanye hesabu ili tukupe jibu mujarab
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzito mkubwa huo angalau ungekuwa 70 kasoro. Ila nadahani ww ni tall.natosha kabisa bila kubaki
Uzito mkubwa huo angalau ungekuwa 70 kasoro. Ila nadahani ww ni tall.natosha kabisa bila kubaki
Mlango wa gari au wa bahari!?bado sijapima urefu ila nikisiimama kwenye mlango nazidi kama kwa kganja kimoja tuuu