Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muongo hamna kitu kama hicho usukumani, Kabalembage bana bako.Nilistuck!
kumbe shem na wewe ni mdau wa hii kitu??........ila niliogopa kuwa leo usiku kaka yangu atakoma kwa mabomu ya nyuklia utakayokuwa unatoa usiku na ukizingatia tena uliwahi kusema kuwa huwa uko huru kutoa mabomu mbele yake!!!Kwanini haikuniambia twende wote?
Huo ni uchochezi!......Acha uchochezi mkuu!!Ukapga au ukaacha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unaweza ukanya mavi debe per one round
Mwanaume wa Dar ukimwambia achague kati ya kujinyonga na menyu kama hii lazima atachagua kujinyonga mkuu!!!maana halisi ya zege achana na chips yai
teh!teh!!teh!!!unaweza ukanya mavi debe per one round