maranguvillage
JF-Expert Member
- Sep 8, 2023
- 2,338
- 5,286
Nitakutumia nikifika job kesho j3Ungepata Contact zake, ningalishukuru
Nina Suzuki Grand Escudos la 2003 SAE - 40 gari inatumia kabisa Hata leakage imepoteaBangi Ni mbaya Sana,chukua SAE-40 weka kwny S-class.Utatupa mrejesho
Unalinganisha hio ngalangala na S-class?Nina Suzuki Grand Escudos la 2003 SAE - 40 gari inatumia kabisa Hata leakage imepotea
Duuh. Kwa hiyo nipo sawa nikutumie SAE-40?Unalinganisha hio ngalangala na S-class?
Barikiwa sanaNitakutumia nikifika job kesho j3
Naamini umeshatinga Job! Naomba unitumie hiyo contactNitakutumia nikifika job kesho j3
La familiarCarina Ti yangu nikiwa na 200k nabadilisha kila kitu hadi injini
kiongozi hii boda au baiskeli?Mimi nikiwa 150k nafanya service full!
Umejuaje?Wa Kanda ya ziwa hyo atakuwa msukuma wa pale simiyu
Namuona anavyohangaika nalo kila siku kwa fundi😂😂Umejuaje?