Nilipoingia mahabusu kwa kubambikwa kesi ya kuiba na kuvunja

Umeweka sana msisitizo kwenye marinda, hadi napata wasiwasi huenda kweli yalitatuliwa.
 
Wewe meneja ulienda central banah ukawekwa lock up na sio magereza tofautisha hivi vitu
 
Wewe meneja ulienda central banah ukawekwa lock up na sio magereza tofautisha hivi vitu
Ni kweli mkuu central ila sijataja magereza au ndio mahubusu iyo iyo na gereza pia ? Na kama ni ivo basi mi nikajua mule mnaitwa mahabusu
 
Kweli lockup,mahabusu namuomba Mungu sana isinitokee na ndiyo maana ktk maisha yangu sijawahi kumshtaki mtu hata kwa balozi na si kwamba sikosewi,hata Sabaya pamoja na mabaya yake bado namuombea kwa Mungu amtoe mahabusu
 
Kuna ndugu yangu alishawahi kuwa katika mambo ya polisi,alisemaga tukiwa katika kikao yakuwa ukisikia nduguyo hapa amekamatwa na yupo kituoni mahabusu fanyeni hima mumtoe haraka sana palepale kabla ya kupelekwa mahabusu ya gerezani,alisema kule kuna hali mbaya tena alikazia ya kuwa kama nduguyo amekamatwa kama dhamani ni nyumba mtolee hapohapo awe huru uku mkishughulikia kesi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…