This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Hakuna kitu kinaitwa KALMA duniani! Hakipo!The same kama Signal ilivyotolewa kule visiwa vya karafuu na yule mchezaji mwenye mahaba aluvyompa kipa tuta. Malipo hapa hapa. Hii inaitwa KALMA[emoji10]
Upuuzi tuYaani tutimize Miaka yetu 89 Jumapili hii ya tarehe 11 Februari, 2024 halafu tuangushe tena Mbili zingine? Unadhani Wanachama na Mashabiki watatuelewa?
Na siku ni mwendo tu wa kutoa / kupeana Signal Uwanjani kwa Mchezaji mwenye Mahaba nasi au Wenzake Wawili Watatu ili wafanye kila wawezalo kwa Kukosea kwa Makusudi na Kuchomesha ili Ndugu na Marafiki Wetu wapate wakitakacho na Wasiumbuke hapa Mjini.
ANGALIZO
Timu inayosemwa hapa na GENTAMYCINE ni ile ya Nottingham Forest FC ya nchini Uingereza ambayo kiukweli SIIPENDI na hata Mashabiki wao wanalijua hili.
Kila la Kheri Wazee wa Signal K'Koo.
Unauzidi huu Upuuzi wako hapa chini kwa kujua fika kuwa unajua hujui Kiingereza halafu unajitutumua Kukiandika halafu Unakikisea na Kukichapia?Upuuzi tu
Huyo ni nyani msamehe bureHakuna kitu kinaitwa KALMA duniani! Hakipo!
Ni kama siku ile ya mechi ya Yanga na Simba ya matokeo ya 2 -2, Yondani alivyomnyang'anya Kagere hirizi, kuanzia siku hiyo Kagere hakucheza tena mpira wa maana mpaka akapewa Thankyou na Simba!Na Kweli walivyo itoa tu wakaanza kupoteana
Ashukuliwe mzize, kwenye ile taulo ya kipa wa dodoma jiji kulikuwa na ndumba
Wanaoamini uchawi leo walikua tabora hukoyaani baada ya mzize kutoa kile kitu kilichowekwa kwenye lile taulo la kipa pale golini, nikajisemea hapa chuma inaaingia mda si mrefu.
mzize mbali na kuwa mchezaji anafaa pia kuwa mganga.