Nilipoiona tu 'Signal' moja iliyofanywa Kiutaalam Uwanjani, nilijua tu kinachofuata ni Goli la Jioooooooooooniiiiiiii....

Nilipoiona tu 'Signal' moja iliyofanywa Kiutaalam Uwanjani, nilijua tu kinachofuata ni Goli la Jioooooooooooniiiiiiii....

Yaani tutimize Miaka yetu 89 Jumapili hii ya tarehe 11 Februari, 2024 halafu tuangushe tena Mbili zingine? Unadhani Wanachama na Mashabiki watatuelewa?

Na siku ni mwendo tu wa kutoa / kupeana Signal Uwanjani kwa Mchezaji mwenye Mahaba nasi au Wenzake Wawili Watatu ili wafanye kila wawezalo kwa Kukosea kwa Makusudi na Kuchomesha ili Ndugu na Marafiki Wetu wapate wakitakacho na Wasiumbuke hapa Mjini.

ANGALIZO

Timu inayosemwa hapa na GENTAMYCINE ni ile ya Nottingham Forest FC ya nchini Uingereza ambayo kiukweli SIIPENDI na hata Mashabiki wao wanalijua hili.

Kila la Kheri Wazee wa Signal K'Koo.
Upuuzi tu
 
Upuuzi tu
Unauzidi huu Upuuzi wako hapa chini kwa kujua fika kuwa unajua hujui Kiingereza halafu unajitutumua Kukiandika halafu Unakikisea na Kukichapia?

Screenshot_20240202-203850.png

Screenshot_20240202-205325.png

Nasubiri majibu tafadhali.
 
yaani baada ya mzize kutoa kile kitu kilichowekwa kwenye lile taulo la kipa pale golini, nikajisemea hapa chuma inaaingia mda si mrefu.

mzize mbali na kuwa mchezaji anafaa pia kuwa mganga.
Wanaoamini uchawi leo walikua tabora huko
 

Attachments

  • VID-20240206-WA0020.mp4
    5.8 MB
Back
Top Bottom