Sio wa Dar huyu, alikuja toka mkoa, ameshaondoka.Nitasikitika kama utasema wewe ni mwanaume.
Ukamuita Simbaaa
Alipokuja akakupa elfu 10
Dar es Salaam kuna mambo sana
Shikamoo elfu kumi..Ni shabiki wake sana, japo nampenda zaidi Dully Sykes. Jamaa nilimuona Posta mwezi huu mwanzoni, nikamwita "Simbaa". Hakuitika nikamwita tena akiwa mbali hakuskia ila kuna kabaunsa kakamgusa akanigeukia nkampungia mkono akanipungia mkono na kuzungusha mkono kuwa anakuja.
Sasa nikajiambia haka kajamaa kaongo kanataka kiki ya kujifanya mtu wa watu. Nikaendelea na yangu, dakika kumi karudi kanisalimu akanipa elfu kumi na alikuwa mstaarabu sana.
Akakaa kwenye bao gumu na kunisalimia, akanishukuru kwa sapoti. Huyu dogo sio mchawi ni mnyenyekevu kutokana na maisha magumu yeye na mamake waliyopitia.
Nimejifunza mengi.
Kuwa mnyenyekevu nawe utafanikiwaNi shabiki wake sana, japo nampenda zaidi Dully Sykes. Jamaa nilimuona Posta mwezi huu mwanzoni, nikamwita "Simbaa". Hakuitika nikamwita tena akiwa mbali hakuskia ila kuna kabaunsa kakamgusa akanigeukia nkampungia mkono akanipungia mkono na kuzungusha mkono kuwa anakuja.
Sasa nikajiambia haka kajamaa kaongo kanataka kiki ya kujifanya mtu wa watu. Nikaendelea na yangu, dakika kumi karudi kanisalimu akanipa elfu kumi na alikuwa mstaarabu sana.
Akakaa kwenye bao gumu na kunisalimia, akanishukuru kwa sapoti. Huyu dogo sio mchawi ni mnyenyekevu kutokana na maisha magumu yeye na mamake waliyopitia.
Nimejifunza mengi.
😂😂😂😂Shikamoo elfu kumi..
Sasa unaanzaje kunyenyekea mke wako ndugu?Kumnyenyekea Diamond mnasifia! Kumnyenyekea Mke mnaponda! Wabongo sisi!
Hakika!Atakuwa lemutuz uyo
Sa kumi usku upo macho.Uchawi ni unyenyekevu tu
Acha kumlinganisha fally ipupa na vitu vya kipuuzi. Nimesikitika sana kumlinganisha Mkali Wa kibao cha "ècole" ambacho kiliachiwa hewani mwezi July 2018 na mpaka Leo kina zaidi ya watazamaji 5,000,000 kule you tube.Mimi namkubali kwa kuimba nyimbo za kulalamika .
Yeye na fally ipupa nawakubali mno.hawa ndio wasanii pekee hapa duniani kama nikipata bahati ya kuwaona nitawaongelesha ila wengine No