Nilipokutana na Diamond Platnumz ana kwa ana tukaongea

Nilipokutana na Diamond Platnumz ana kwa ana tukaongea

Acha kumlinganisha fally ipupa na vitu vya kipuuzi. Nimesikitika sana kumlinganisha Mkali Wa kibao cha "ècole" ambacho kiliachiwa hewani mwezi July 2018 na mpaka Leo kina zaidi ya watazamaji 5,000,000 kule you tube.
Kwa hiyo viewers million 5 tangu July ndo ajabu??
 
Mkuu nilichokiona hapa sio kwamba unatetea Uanaume, unatetea Roho Ya Kwanini.
Roho ya kwanini kivipi?

Siwezi kumuita mwanaume mwenzangu aje anipe elfu kumi huo ni udada.
Nyie wanaume wa Dsm sijui mna akili gani vichwani.

Kwanza kumuita mwanaume mwenzako bila kua na jambo la maana ni sawa na mwanamke anapomshobokea mwanaume.
Mjiheshimu ukishakua mwanaume acha mahaba ya kike
 
Kwani wachawi sio wanyenyekevu...???

Akakaa kwenye bao gumu na kunisalimia, akanishukuru kwa sapoti. Huyu dogo sio mchawi ni mnyenyekevu kutokana na maisha magumu yeye na mamake waliyopitia.
 
Ningekuwa diamond nisingekupa 10000, ningekwambia kapewe na dully skyes huko
Sikuomba alitoa mwenyewe ,jamaa anatabia ya kugawa hela ,hata Kuna siku alipita kinondoni akasmama pale sterio kijiwe Cha wanyama wakali Cha tid akawanunulia vinywa akasepa
 
Ningekuwa diamond nisingekupa 10000, ningekwambia kapewe na dully skyes huko
Kwani kazi ya wasanii kugawa hela ,ofcoz ningepewa na dully ingependeza zaidi,mkuu sikuomba ni Kama alijisikia kukubalika tu
 
Nitasikitika kama utasema wewe ni mwanaume.

Ukamuita Simbaaa
Alipokuja akakupa elfu 10
Dar es Salaam kuna mambo sana
Sasa mkuu mi dume ila sikuomba hela alitoa mwenyewe na hakunipa mm tu aliwapa wengine Kama watatu akakaa akajipigisha story akasepa ,utakuwa hujiamin ww
 
Sasa mkuu mi dume ila sikuomba hela alitoa mwenyewe na hakunipa mm tu aliwapa wengine Kama watatu akakaa akajipigisha story akasepa ,utakuwa hujiamin ww
Kwanza siwezi kumuita mwanaume mwenzangu labda niwe na issue naye, we ulichokifanya ni kumshobokea Diamond.

Sasa mwanaume unaanzaje kumshobokea mwanaume mwenzako?

Huko Dsm mnaishi kipekee sana.
 
Kwanza siwezi kumuita mwanaume mwenzangu labda niwe na issue naye, we ulichokifanya ni kumshobokea Diamond.

Sasa mwanaume unaanzaje kumshobokea mwanaume mwenzako?

Huko Dsm mnaishi kipekee sana.
Ni kawaida huku mjini kumkubali alietoboa ,usijari hata posta zamani waliwahi ishi nyani Sasa hivi walipisha maghorofa wakahamia huko unakoishi huko pia maendeleo yatafika ,mtaacha kulogana,kulewa mchana ,kuoa wake wengi ,uzazi wa mpango ..yajayo yanafurahisha
 
Whatever the case, ni ushamba mkubwa sana mwanaume kumshobokea mwanaume mwenzio na kumuita kwenye umati wa watu eti kisa ni maarufu.

Hiyo Dsm inawajaza ujinga baadhi yenu.
Alafu unaona tulioko mkoani washamba wakati wewe uko Dsm ndio mshamba zaidi unakua na mihemuko ya kike.
 
Nitasikitika kama utasema wewe ni mwanaume.

Ukamuita Simbaaa
Alipokuja akakupa elfu 10
Dar es Salaam kuna mambo sana
Screenshot_20181011-183813.png
 
Ni kawaida huku mjini kumkubali alietoboa ,usijari hata posta zamani waliwahi ishi nyani Sasa hivi walipisha maghorofa wakahamia huko unakoishi huko pia maendeleo yatafika ,mtaacha kulogana,kulewa mchana ,kuoa wake wengi ,uzazi wa mpango ..yajayo yanafurahisha
Unamaanisha watu wa mikoani uchumi wao uko vizuri ndio maana wanafanya yote hayo kama kunywa bia mchana na kuoa wake wengi
 
Back
Top Bottom