Kwa hiyo viewers million 5 tangu July ndo ajabu??Acha kumlinganisha fally ipupa na vitu vya kipuuzi. Nimesikitika sana kumlinganisha Mkali Wa kibao cha "Γ¨cole" ambacho kiliachiwa hewani mwezi July 2018 na mpaka Leo kina zaidi ya watazamaji 5,000,000 kule you tube.
Mkuu nilichokiona hapa sio kwamba unatetea Uanaume, unatetea Roho Ya Kwanini.Nitasikitika kama utasema wewe ni mwanaume.
Ukamuita Simbaaa
Alipokuja akakupa elfu 10
Dar es Salaam kuna mambo sana
Roho ya kwanini kivipi?Mkuu nilichokiona hapa sio kwamba unatetea Uanaume, unatetea Roho Ya Kwanini.
Akakaa kwenye bao gumu na kunisalimia, akanishukuru kwa sapoti. Huyu dogo sio mchawi ni mnyenyekevu kutokana na maisha magumu yeye na mamake waliyopitia.
hahaaSio wa Dar huyu, alikuja toka mkoa, ameshaondoka.
Lofa mama.ako alokuzaa wewe ch.oko.Acha kumlinganisha fally ipupa, lofa wewe na vitu vya hovyo.
You're comparing true African musician with crook "artist"
Sikuomba alitoa mwenyewe ,jamaa anatabia ya kugawa hela ,hata Kuna siku alipita kinondoni akasmama pale sterio kijiwe Cha wanyama wakali Cha tid akawanunulia vinywa akasepaNingekuwa diamond nisingekupa 10000, ningekwambia kapewe na dully skyes huko
π΅π΅π΅Nitasikitika kama utasema wewe ni mwanaume.
Ukamuita Simbaaa
Alipokuja akakupa elfu 10
Dar es Salaam kuna mambo sana
Sasa mkuu mi dume ila sikuomba hela alitoa mwenyewe na hakunipa mm tu aliwapa wengine Kama watatu akakaa akajipigisha story akasepa ,utakuwa hujiamin wwNitasikitika kama utasema wewe ni mwanaume.
Ukamuita Simbaaa
Alipokuja akakupa elfu 10
Dar es Salaam kuna mambo sana
πππππππππNdio nyie badae msanii anapata brand kubwa ya lebo kwenye uwekezaji kama Cristiano ronaldi mnasingizia aliwafira!!!!
Kwanza siwezi kumuita mwanaume mwenzangu labda niwe na issue naye, we ulichokifanya ni kumshobokea Diamond.Sasa mkuu mi dume ila sikuomba hela alitoa mwenyewe na hakunipa mm tu aliwapa wengine Kama watatu akakaa akajipigisha story akasepa ,utakuwa hujiamin ww
Ni kawaida huku mjini kumkubali alietoboa ,usijari hata posta zamani waliwahi ishi nyani Sasa hivi walipisha maghorofa wakahamia huko unakoishi huko pia maendeleo yatafika ,mtaacha kulogana,kulewa mchana ,kuoa wake wengi ,uzazi wa mpango ..yajayo yanafurahishaKwanza siwezi kumuita mwanaume mwenzangu labda niwe na issue naye, we ulichokifanya ni kumshobokea Diamond.
Sasa mwanaume unaanzaje kumshobokea mwanaume mwenzako?
Huko Dsm mnaishi kipekee sana.
Whatever the case, ni ushamba mkubwa sana mwanaume kumshobokea mwanaume mwenzio na kumuita kwenye umati wa watu eti kisa ni maarufu.Ni kawaida huku mjini kumkubali alietoboa ,usijari hata posta zamani waliwahi ishi nyani Sasa hivi walipisha maghorofa wakahamia huko unakoishi huko pia maendeleo yatafika ,mtaacha kulogana,kulewa mchana ,kuoa wake wengi ,uzazi wa mpango ..yajayo yanafurahisha
Nitasikitika kama utasema wewe ni mwanaume.
Ukamuita Simbaaa
Alipokuja akakupa elfu 10
Dar es Salaam kuna mambo sana
Unamaanisha watu wa mikoani uchumi wao uko vizuri ndio maana wanafanya yote hayo kama kunywa bia mchana na kuoa wake wengiNi kawaida huku mjini kumkubali alietoboa ,usijari hata posta zamani waliwahi ishi nyani Sasa hivi walipisha maghorofa wakahamia huko unakoishi huko pia maendeleo yatafika ,mtaacha kulogana,kulewa mchana ,kuoa wake wengi ,uzazi wa mpango ..yajayo yanafurahisha