Nilipokutana na Diamond Platnumz ana kwa ana tukaongea

Kwanza siwezi kumuita mwanaume mwenzangu labda niwe na issue naye, we ulichokifanya ni kumshobokea Diamond.

Sasa mwanaume unaanzaje kumshobokea mwanaume mwenzako?

Huko Dsm mnaishi kipekee sana.
we jamaa umeamua kumchosha mwanzisha mada, unajifanya mgumu kumbe ndo wale wale...
 
we jamaa umeamua kumchosha mwanzisha mada, unajifanya mgumu kumbe ndo wale wale...
Wale wale ni wewe unayedhani ukiwa shabiki wa mtu fulani basi ni lazima umshobokee kama mwanamke
 
Wale wale ni wewe unayedhani ukiwa shabiki wa mtu fulani basi ni lazima umshobokee kama mwanamke
Kuna tofauti gani na wewe uliyeona uzi wa mshkaji ukawashwa uufungue usome kama siyo kushoboka umefungua umefikaje humu
 
Mkuu inaonesha huamini mfumo wa maisha yako huko simuyu ,kila mji na mifumo yake huku mtu akifanya maendeleo tunamsifu balaa huko mnamloga ,so relax wanaume wa dar mbona hawafatilii ya simiyu mkuu pambana na kilimo Cha mkono ukivuna sisi wa dar tutaamua bei
 
Mie mwenyewe ni Shabiki wa Kiba ila 2 months ago nikamuona airport , kumpa hi diamond akanijibu kwa furaha kabisa na kunichangamkia kama ananijua ila Mose Iyobo akawa kama hataki anisalimie na Mose akijidai matawi ya juu hahaha🙂
 
Aliefungua huu uzi naona ni dzain zile akina Hamorapa.. cha ajabu ni kukalia mbao ngumu ama hyo buku 10.!!!?
 
Njaa mbaya sana, Hata mtoto utamwamkia,imetoka buku 7 had 10
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…