NILIPOKUWA MDOGO MPAKA SASA NAJIULIZA, 'HERUFI (a-z ) ZILIGUNDULIKAJE?

Emhegele

Senior Member
Joined
Jul 21, 2013
Posts
122
Reaction score
6
Jaman wanajukwaa, kwa heshima na taadhima ni mara nyingine tena najitokeza jukwaani, ni mara nyingi huwa najiuliza sana ni kwa nini herufi ziligundulika na hakuna zaidi ya Z. ni vigezo gani vilizingatiwa mpaka kuishia Z, huwa sipati jawabu. Haya jaman karibun kwa lolote unalofikiria kuhusiana na hapa.
 
haya bana naona lekchaa za mwenge zimeanza kufanya kazii! Vp chuo lakin kpo fresh
 
haya bana naona lekchaa za mwenge zimeanza kufanya kazii! Vp chuo lakin kpo fresh

mkubwa DARIUS Skia nataka nipge buku mpaka nije kugundua herufi nyingne nje ya hapo niwe Profesa au we unasemaje?
 
unazifahamu herufi za kichina? Kiarabu je????????
 
soma unatumia technology ila unauliza maswali ya kitoto unaanza kuzingua unataka kusoma ugundue zingine nani kakuuliza yote hayo..hujakua wewe bado ni mtoto tu
 
Peleka jamii intellegence,hakuna swali lisilo na jibu kule
 
Jibu hili swali kwanza: 'Lugha ni nini?'
 
hizo ni alfabet za kirumi(roman alphabet)kwa mara ya kwanza ziligunduliwa huko misri kwenye jiwe liitwalo rosseta stone. Ukitaka maelezo zaid goole wikipedia rosseta stone
 
kwani kuwa profesa mpaka ugundue kitu?? ila jua hakuna chuo kinachotoa uprofesa zaidi hyo ni tunu ya kupeana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…