Jaman wanajukwaa, kwa heshima na taadhima ni mara nyingine tena najitokeza jukwaani, ni mara nyingi huwa najiuliza sana ni kwa nini herufi ziligundulika na hakuna zaidi ya Z. ni vigezo gani vilizingatiwa mpaka kuishia Z, huwa sipati jawabu. Haya jaman karibun kwa lolote unalofikiria kuhusiana na hapa.