Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Beetle ni mjukuu wa Fiat Iveconilijua ndege ni ya baba
Helicopter imetoka kwa Osama bin ladeni
Tuliambiwa watoto wanauzwa hospital
Akina mama wa Africa "Mungu anawaona"Tuliambiwa watoto wanauzwa hospital
Nilijua elimu ni bora kuliko fedha
Hahaha .. Mvua ikinyesha huku jua linawaka basi kuna mchawi kafa au Simba kazaa [emoji23]Akina mama wa Africa "Mungu anawaona"
Mkubwa hajambiNilijua mkubwa huwa hakosei
Ha ha ha nimecheka kwa sauti kuu
Daaaah hahahaNilijua sabuni ni kwa ajili ya kuogea tu, kumbe inaweza pia kupunguza kibururu
Hahahaha, ila kumbe mambo ni kinyumeee na tuliitetea Elimu, kumbe tungejua ukweli tungeacha madarasa bila watu..Nilijua elimu ni bora kuliko fedha
😂😂😂😂Nilijua kweli ni makangabiliti kumbe ni.......making ability 🙌
Mimi nimejua leo😂😂😂😂