Kama kichwa kinavyojieleza... huenda wanachama chadema wameona mbali kuwa njia haitoki as long as mwamba Mbowe yuko enzini...
Unajua baada ya kukaa ndani ya ndoa nimekuja kuelewa kuwa sio wababa wote wanachama home na kusepa kuwa ni wabinafsi... wengine ni sababu za wake zao kuwa na kero na kelele zisizoisha ...
Ndiposa kusema kuwa 'kua uyaona'
Sasa hawa akina Msigwa, Slaa
, na wengine wengi huenda wamebaini kuwa kwa chadema , no way out... so bora waangalie utaratibu mwingine . Huenda wamebaini kuwa maono ya mwenyekiti wao sio kushika dola bali kuendeleza urithi wa familia...