kingkongtz
JF-Expert Member
- Dec 28, 2019
- 1,058
- 3,613
wakuu kwema
natumain mko salama kabisa
Ninachangamoto kubwa hapa imetokea naombeni ushauri .
Nilikuw na mahusiano na binti mmoja ivi alitokea kunielewa ana miaka 18 basi tukajikuta tupo kwenye mahusiano na tukapendana sana tatzo lilikuja baada ya kugundua ni mwanafunzi na yupo kidato cha mwisho,mwaka huu anamaliza.
Baada ya kusikia ivo nikaona hakuna haja ya kuendelea nae isitoshe ni majiran na kibaya zaid kumbe mamayake alikuw anatufuatilia bila kujua.
sasa wakuu niliona nivunje mahusiano na huyu binti kwa kumdanganya naoa ,alihuzunika mno ila badae akawa muelewa tukabak washkaj wa mbalmbal kwa zaid ya miez 3,
Wiki iliyoisha nilipata msiba nikatoka msiba ulivoisha nikarudi kuendeleza majukum ya utafutaj
TUKIO
Jana kipind narudi aliniona na akapanga kuja kunipa pole tu kiroho safi na sijamgusia chochote,baada ya story story ikabid aniage kwa kunihug ghafla mama ake mzaz akaingia ndani ameongozana na dadazake na huyu binti
sikuongea chochote ila nilisikiliza tu maongez yake
"kijana huyu binti siunampenda bas nakukabidh umuoe,na nimemuacha hapa kwako tafadhal nitunzie binti yangu...nilikuwa nauwezo mkubwa wa kuita police au kuita majiran na kuleta fujo ila tumekukabidhi sisi tunaondoka asikanyage nyumban tena.
Wakuu yule binti ilibid nimdanganye kuwa aende nyumban nikachukue wazee waje tumalize suala,alikubal kishingo upande ila akadai mama atamuua kwa fimbo,
sasa baada ya kumtoa ndan na mimi nikafunga geto nikaescape msala ,naombeni ushaur nifanyeje na tunakaa karibu (ni majiran)
Binti yeye anajua mwezi ujao naoa na nishalipa mahari pengine na mahusiano na yy yaliyukw yameshaisha.
nishaurin nifanyeje