Nilipompenda Bila Kujua: Penzi Langu na Mwanafunzi wa Kidato cha Mwisho

Kama umepanga mbona vyepesi kutoroka labda useme hapo ni kwenu kabisa ndio masala unapoanzia
 
Hapo ushaur wa msingi huwezi kuupata maana umetudanganya yaan mtu uponaye jiran na usijue kama anasoma
PAmbanalo kiume mbona ni ishu ndogo tuuh
 
Tangu lini ukaanza kutoa ushauri kwa mafurushi? You are letting me down big time! !😣🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️
Sasa kila siku ndio yanazidi kuongezeka tafanyaje!! Unawapa tu kulingana na ufurushi wao🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Unajua vijana hawana akili

Binti anayesoma anajulikana ni mtu mjinga ambaye anaweza kuanzisha mahusiano na Mwanamke pasipo kutrace background yake.


Hii biashara imeanza zamani Sana ipo hiv wazazi wa wakiswahili akisha notice unatembea na mwanae .

Atakufatilia baadae akimaliza atakutengenezea trap , yaani atampanga huyo biniti aje kwako na hapo akija tu utavamiwa na wtakuambia umuoe , au umembaka au unatembea nae .

Kinachofata hapo ni kutoa pesa Kama hauna utajikuta upo nyuma ya nondo kimasihala na hapo hautaamini macho yako .


Hawa watoto wa mtaani usiwaone hivi wanshobokea wanaume , hawana akili ukitembea nae lazima akibanwa atasema yote jinsi ulivyokuwa unamkunja so tutumie Sana Akili we need to play smart.
 
Umesema ulimdanganya unaoa,muoe yeye sasa.
 
Wasichana wasiosoma wenye 18+ yrs wamejaa kibao street,waliomaliza form four wenye 18+ yrs na hawana ramani wapo wengi sn street,wasimbe,wadangaji na mishangazi ndio usiseme,sioni sababu kwanini uchokoze sheria za nchi! Acha kabisa ku_deal na uniform au under 🔞,ACHAAA
 

Attachments

  • IMG_20240416_231645.jpg
    50 KB · Views: 1
Nilikuw na mahusiano na binti mmoja ivi alitokea kunielewa ana miaka 18 basi tukajikuta tupo kwenye mahusiano
Upo kwenye mahusiano ya ngono na binti wa miaka 18. Huyo mtu mzima mwenzio, je ulimkuta bikra?

na tukapendana sana
Mlipendana au mlifurahia ngono yenu? Mngependana ungempa ahadi ya kuoa akimaliza masomo na kwasasa ungestisha ngono asome.

tatzo lilikuja baada ya kugundua ni mwanafunzi na yupo kidato cha mwisho,mwaka huu anamaliza.
Hili sio tatizo, tatizo ni wewe na mihemko yako ya ngono na tamaa zako.

isitoshe ni majiran
Kama ni majirani ilikuwaje ukashindwa kutambua mapema kuwa ni mwanafunzi?

Umechezea mtoto wa watu unamwachia nani aje kuoa?


nishaurin nifanyeje
OA, OA, OA. Huyo ni mkeo umekabidhiwa. Chagua kuoa au jela 30 yrs
 
Afu ulivyo mpumbavu unasema hukujua ni mwanafunzi,usijue vipi na uko mtaa mmoja? We unatuona sisi hatuna akili si ndio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…