Nilipomtembelea Mdada wa JF nikakutana na huu ujumbe...!!

Jirani yangu alikula
mkong'oto baada ya mumewe aliyekuwa safarini kurudi na kumkuta kavaa
kanga hii 'kuliko kioze, heri nimpe jirani'
hahahaha hii kali aiiiseee
 
Jirani yangu alikula mkong'oto baada ya mumewe aliyekuwa safarini kurudi na kumkuta kavaa kanga hii 'kuliko kioze, heri nimpe jirani'
hahaaaaaaaa hi kali jamani lol! ila yanauma ujue hata kama maneno ya kanga lazima ujishtukie muhusika mkuu(ukiwa kama mume)
 
Jirani yangu alikula mkong'oto baada ya mumewe aliyekuwa safarini kurudi na kumkuta kavaa kanga hii 'kuliko kioze, heri nimpe jirani'

Nimemkumbuka ghafla my wifey Yummy.

Afu cacico ndo nini unanifanyia?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…