Nilipomwambia hadi tupime hiv status.

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
Ilikua mwaka 2008 nilipokua mitaa ya nmb posta nikakutana na kimwana wa mwenge na tukajuana kama binadamu mana tulikua wote profassional moja,badae tukawa tunawasiliana na tukazoena.Alinitembelea kwangu na nlikua nakaa geto home ilikua kaskazini mwa tz,na mie geto Bagamoyo ani,yeye alitaka tufanye mapenzi,ila sikukubali,nikaumwa nikaenda kwake nikawa nimepona,na bado nikamwambia hatujuani tukapime sb mi nawe hatujuani historia zetu,akakataa tukaachana toka 2008 hadi juzi 2012 janipigia simu kua yupo morogoro nimfate ananihitaji,kwa vile aliniuguza nikaenda.kufika ikabidi nilale,sasa wakati tumelala akawa anasema nataka nikufundishe,yani hanipi japo sikihitaji maana bado msimamo ninao.Akawa anadai kua kama ukinitaka sku ingine,je unadhani ni kwa nini ananivuta kijanja na hataki kupima,naomba maoni yako ndugu
 
Huyo msisitize kupima kwa nn anakataa hivi mnataka kufanya Unprotected sex ?:hatari:
 
juzi tulipokua nae morogoro mana anasoma mzumbe diploma kama anavyodai,ani anajiendeleza mana alikua mwalimu wa msingi,akawa anasema eti namdharau ndo mana simwamini
 
sio wote wanao ogopa wanao
wengine waoga tu
tumia condom basi
 
chukua hatua shirikisha akili zako nazakufundishwa darasani..
 
Wewe huna nia nae ya kimapenzi wala ya kuwa nae maishani 2008 to 2012, after all these while akupigia na wewe watia mguu wenda. Si umpotezee, nyie mnawatia mabinti wa watu tamaa halafu mwataka nini tuwashauri?
 
ningekua nimekula mzigo nisingeleta mada,sijala mzigo,na mimi kwa sasa nipo mbeya na yeye yupo moro,
 
sio kujiplizi naomba ushuri mana nampenda ila kupima hataki
 
Mbona lugha gongana? Naona sielewi unachoandika mbali ya kuwa amekataa kupima. Mara kaskazini kwa tz mara Bagamoyo jee vipi? Au mwenzangu hata kiswahili kilikupiga chenga ulipokuwa sekondari?

Kwanza wewe ni me au ke?
 
ee nilikua na nia nae toka 2008 sema alibadlili namba ya simu na alipokua anafanya kazi alihama na kabla hajanipigia jana yake nilimmiss sana mana aliniuguza kama ndugu yangu japo sikula mzigo
 
mimi mi mwanaume wa miaka27,
 
BUMIJA: Kama angekubali kupima na akawa NEGATIVE lengo lako ni nini?
 
mi sio mjanja ila nina nia awe wangu maishani,sa bila kupima hatutapata watoto
 
so tell me the right speed and the relevant direction
 
jamani wenangu mi namaanisha na sitanii,ni hali halisi naomba ushuri wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…