BUMIJA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 5,950
- 11,295
Ilikua mwaka 2008 nilipokua mitaa ya nmb posta nikakutana na kimwana wa mwenge na tukajuana kama binadamu mana tulikua wote profassional moja,badae tukawa tunawasiliana na tukazoena.Alinitembelea kwangu na nlikua nakaa geto home ilikua kaskazini mwa tz,na mie geto Bagamoyo ani,yeye alitaka tufanye mapenzi,ila sikukubali,nikaumwa nikaenda kwake nikawa nimepona,na bado nikamwambia hatujuani tukapime sb mi nawe hatujuani historia zetu,akakataa tukaachana toka 2008 hadi juzi 2012 janipigia simu kua yupo morogoro nimfate ananihitaji,kwa vile aliniuguza nikaenda.kufika ikabidi nilale,sasa wakati tumelala akawa anasema nataka nikufundishe,yani hanipi japo sikihitaji maana bado msimamo ninao.Akawa anadai kua kama ukinitaka sku ingine,je unadhani ni kwa nini ananivuta kijanja na hataki kupima,naomba maoni yako ndugu