Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 5,168
- 1,549
Duh! Na wewe badilisha shift ya kukutana naye.
mbwage tuu.....mademu wapo wengi na huyo kashaanza mizengwe
Ralphryder
Labda nianze kwa kuuliza . Mkuu are u upset because u were not informed of the changes,kabla ya kwenda kwenye tukio au with the fact that the shift was changed at all?
If its for the later, then forgive me for saying this maana u like kama mtoto mdogo anaendekeza ukame badala ya ..................................Si utafute wadada poa!!??
ni mara ya ngapi anatenda kosa hilo? au mkuu we ndo tatzo
yaani hiyo ndo sababu sababu ya kumpiga chini? Au humpendi na mwenzio kagundua anatumika tu bila love?
mie niko fifty fifty hapa.
Naweza sapoti umbwage, sababu ushasema haeleweki, kwa umpendaye kupeana taarifa huwa kama mko ITV
mwaambizana mambo mengi, ukishaona unaanza kusahaulika 'be eyes'
nikisema usimpige chini, labda kwanza ukae naye mzungumze, ujue nini kinaendelea, umweleze hukuwa happy na yeye kukufungia simu, afu ndo msameheane.
Ana kila dalili za dharau na hivyo anastahili kibuti. Piga chini huyo.
jamani haya mapenz mh
anajua nampenda sana kalianzisha ivoo!
Foo shua, haya maelezo yamekaa ki-infirioriti kompleksi.Umeonaee! Si anakamshahara kazuri ndo kanamtia kichwa!