Nilipomwambia nina hamu na yeye tu, akabadili zamu!

Ana kila dalili za dharau na hivyo anastahili kibuti. Piga chini huyo.
Haya... Huyu ana dharau, atakefuata atakuwa na kiburi, mwingine baada ya kiburi atakuwa na wivu wa kijinga, na bada ya huyo atakuja mwenye "PAMDOMO"... Mwisho wa siku utaachana na kila mwanamke. Kwa mtindo huu ukitaka mkamilifu kila idara EIDHA UTOKE NA WEWE MWENYEWE au TOKA NA MUNGU... Nje ya hapo utakuwa unahangaika kukikimbia Kivuri chako, ambacho kila likikuwakia jua lazima lazima utakiona.
 
we umekaa ki ngono tu huwazi potential nyingine ya mwanamke wako that y u think in that way, kaa nae mjipange bwana hata yeye i mwanadamu kuna siku hana mood au na yeye ukimboa aje Humu JF kuomba ushauri.Waza, pambanua, amua, chukua hatua .acha kukurupuka
 

Duh! Haya king'amuzi! Nakupata!
 
ulikuwa umeshakunywa viagra nini sasa kakubadilishia inakuwa tafrani
 
Mpe nafasi na muda Comrade,usiwe na haraka taratiiibu hayo anayokuficha kama yapo utayaona tu
otherwise endelea kumpenda tu, ukisikia visa vya watu humu utagundua hako ka kwako ni kasehemu tu katika bahari ya mapenzi
 
mbwage tuu.....mademu wapo wengi na huyo kashaanza mizengwe
usemi huo unawaponza sana nyie wanaume....badae mnarudi na viam sorry vyenu baada ya kugundua ni her ulikotoka kuliko ulikoenda
 

Si mpigie tu!
 
kosa hili ni mara ya kwanza ila ameanza ujanja ujanja,mara naitwa kwa mjomba mara kikao cha harusi! Mpaka muda mwingine anachelewa kazini!

jaribu kutumia muda nae kwa kukutana kwa maongez zaid ili uweze kumwelewa zaid tabia na uweze kuelewa mahusiano yenu yakoje kimawasiliano. yawezekana mnatumia muda zaid kwa ngono
 


Dalili za mvua ni mawingu. Tafuta mwamvuli kabla haujanyeshewa!
 
kosa hili ni mara ya kwanza ila ameanza ujanja ujanja,mara naitwa kwa mjomba mara kikao cha harusi! Mpaka muda mwingine anachelewa kazini!

mara nyingi tunapeda kuchukua mapungufu yetu au makosa na kuyasukumia upande wa pili pas kujisafisha .. kama nni kosa la kwanza kwa nini utuhumu sana ?? je wewe ukaribu wako na wake ukoje katika kukushirikisha au kumshirikisha katika maisha ya kila siku??
 
Kwa wazee kama sisi hapo tayari tumeshagundua kitu.

Ukiniuliza ntakuambia.
 
Oyaaa ufanye nini wakati kuna kila dalili wewe ndo ushapigwa chini??...pigia mstari wewe ushamwagwa tafuta mwengine sio eti watu wanakushauri mpige chini kivipi??..wewe ushapigwa chini so jiongeze chapa lapa.
 

Sasa mkuu na wewe unapanga ukadadavue saa tisa mchana!! kwani ni wa kuiba huyo? Jaribu kupanga muda ulio romantic mkuu
 
Haya... Huyu ana dharau, atakefuata atakuwa na kiburi, mwingine baada ya kiburi atakuwa na wivu wa kijinga, na bada ya huyo atakuja mwenye "PAMDOMO"... Mwisho wa siku ............ utapata mwende kaswend na ukim.....i, teh teh teh.
 

Ndo tatizo lenu nyie Intern Doctors mnapapala sana na hoa manesi kwa kuwaona wao hawana kitu na low cost .Kwa hiyo na wao wakijua hamuna kitu wanawapiga chini.Mfano nesi anakuomba sh10,000/=ya kununa vocha mwasiliane wewe hauna tena mwisho wa mwezi kweli..utampata huyo...looooo kazi mnayo
 

nyote ni watoto, na sijui umefikaje huku.....
 
na we mpigie kimya mpaka akutafute kwani we tu ndo unahamu naye? Na asipokutafuta jua hana mpango na wewe!
HUU NDIO USHAURI SAHIHI!Kama anakupenda kweli,atajirudi.Ukiona kimya ujue sio tu hakupendi bali ameshampata mwingine!
---Believdat---
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…