Nilipoona Mwigulu Nchemba ameanza kuongea kisukuma nikajua ni zile zile janja za Kamala Harris katika kutafuta urais

Nilipoona Mwigulu Nchemba ameanza kuongea kisukuma nikajua ni zile zile janja za Kamala Harris katika kutafuta urais

Emmanuel kant

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2026
Posts
333
Reaction score
857
Mwigulu alisema akipendwa na wanasingida imetosha na kwa muda mrefu amejitambulisha kama Mnyiramba.

Sina tatizo na kuongea kisukuma ila yasije kuwa ya Kamala Harris kabla ya kugombea urais alijitambulisha mhindi kwenye mbio za urais ghafla akaanza kujitambulisha kama mweusi.

Sitashaangaa huko mbele Mwigulu alisema yeye ni Msukuma au Moja ya mzazi wake.
 
Mwigulu alisema akipendwa na wanasingida imetosha na kwa mda mrefu amejitambulisha kama mnyiramba. Sina tatizo na kuongea kisukuma ila yasije kuwa ya kamala Harris kabla ya kugombea uraisi alijitambulisha mhindi kwenye mbio za uraisi ghafla akaanza kujitambulisha kama mweusi. Sitashaangaa huko mbele mwigulu alisema yeye ni msukuma au Moja ya mzazi wake.
Au nasema uongo ndugu zangu
 
Mwigulu alisema akipendwa na wanasingida imetosha na kwa mda mrefu amejitambulisha kama mnyiramba.

Sina tatizo na kuongea kisukuma ila yasije kuwa ya kamala Harris kabla ya kugombea uraisi alijitambulisha mhindi kwenye mbio za uraisi ghafla akaanza kujitambulisha kama mweusi.

Sitashaangaa huko mbele mwigulu alisema yeye ni msukuma au Moja ya mzazi wake.
Hilo jina la Mwigulu sio la Kinyiramba. Usikute aliliokota Usukumani.
 
Back
Top Bottom