Nilipopanga kila siku akina mama wanashindana kufua halafu bili ya maji tunalipa sawa

Nilipopanga kila siku akina mama wanashindana kufua halafu bili ya maji tunalipa sawa

Bili yenyewe buku tatu mpaka tano unalia lia au panga ambapo mpo mabachela tupu bado utakuja kulia lia mnaibiana
 
We achia maji chooni yawe yanatiririka muda wote ama mnachangia hadi choo?

Kama ukuta wako unajitegemea otesha maua daily unamwagilia hadi maji yanatirikika kama bwawa.

Hao kuwakomoa kazi ndogo sana.
Uharibifu wa maji huo.
 
Back
Top Bottom