Niliposema kwa kujiamini kabisa kuwa ndani ya Simba SC kuna matatizo makubwa nilikuwa namaanisha

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
CEO Barbara alituletea Kocha Pablo akituaminisha ni Kocha bora hakukaa akamtimua.

CEO Barbara akatuletea Kocha Zoran na kusema ni Kocha bora hakukaa juzi wamemtimua Kidiplomasia.

CEO Barbara Msimu mpya wa Ligi ulipoanza akaja na Slogan kuwa Simba SC haishikiki na haizuiliki na kwamba itabeba kila Kombe Matokeo yake Kombe la Awali la Ngao ya Jamii likaendelea Kukaa ( Kubakia ) Yanga SC.

Juzi tu CEO wa Simba SC Barbara alituambia kuwa amemleta Kocha wa Viwango Simba SC Juma Mgunda na kwamba ana Leseni A ya CAF na ndiyo atasimama huko Malawi lakini Ukweli umejulikana kuwa kumbe Juma Mgunda hana hiyo Leseni na CAF haimtambui.

Nikiwa naanzisha Mada mbalimbali hapa JamiiForums hasa za Kuisema vibaya Simba SC ( ambayo Mimi MINOCYCLINE sifichi kuwa ndiyo Timu yangu pendwa ) kuna Wapumbavu wengi ( hasa Mashabiki wa Simba SC ) hudhani nina Chuki binafsi na Simba SC na hasa CEO Barbara Gonzalez wakisahau kuwa Mimi Sera yangu Maishani ni kutokuwa Mnafiki, Muongo na mpenda Kujipendekeza au Mshabikia Upumbavu kama Wao.

Mimi ndiyo MINOCYCLINE 'Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person' na kuanzia sasa mkiiona ID hapa JamiiForums muwe Kwanza mnaipigia Salute na Kuiheshimu kwani nina Jicho Kali la Maono na kujua kinachokuja hivyo nikiwa Nakemea jambo hapa muwe mnanielewa.

Haya endeleeni Kunitukana kama Kawaida yenu ila ninachojua ni kwamba Kocha wa Simba Queens Nkoma ameondoka jana kwenda Malawi na ndiyo atasimama Kesho Simba SC ikicheza na Nyasa Big Bullets FC.

CEO Barbara Gonzalez atatutia Aibu na Kutudharaulisha wana Simba SC wote halafu bado Watu wazima hamshtuki na mnamuona ni Mtu muhimu ndani ya Simba SC wakati Yeye, Kocha Msaidizi Matola na Mwenyekiti Mangungu ndiyo Wasaliti wenu Wakubwa kila Simba SC ikicheza na Yanga SC na mnafungwa tu.

Hamna Akili.......!!!!!
 
Sisi simba a.k.a makolo ni mambumbumbu kuanzia uongozi wa juu mpaka mshabiki
 
Attachments

  • 5.jpeg
    5.jpeg
    33.3 KB · Views: 4

Kimwaga udugu utakufa kwa kihoro siyo kwa makasiriko haya. Wewe uko Yanga mbona unaumia na mambo ya Simba?

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hapo mwisho hapo naona umepigilia msumari wa Rage ule wa MAMBUMBUMBU
 
Wewe juzi ulituandikia hapa kwamba hutaishabikia simba tenaa sasa leo unakuja kulalama hapa ooh (Mgunda) hatokuwa kwenye benchi kisa hana leseni ya daraja A inayohtajika na CAF..Yaan unaharisha kiujumla bila mpangilio Sasa kwa taarifa kamili Mgunda ndo kocha mkuu hvyo ataiongoza benchi nzima la ufundi,sawaa Gentamycin uliyechangamka!
 
Watu wanamlaumu dada wa watu kwani yeye peke yake ndio ana amua kocha gani apewe timu.?? Acheni ujinga basi kujifanya wajuvi sana
 
Back
Top Bottom