Niliposema kwa kujiamini kabisa kuwa ndani ya Simba SC kuna matatizo makubwa nilikuwa namaanisha

We mwanamke una matatizo Sana,we upo yanga,habari za Simba zinakuhusu Nini bibie,

Aliyekuambia Zoran katimuliwa Nani kwanza?
 
Jamii forum huyu MTU ana akaunti zaidi yA 4 amekuwa akizitumia kusambaza uzushi na uongo kuhusu simba na kuleta hisia za kuasi Tanzania dhidi ya Rwanda.

Mchunguzeni vizuri huyu MTU atakufikisheni kubaya
 
Kwani ndo nani huyu nasikia kila mtu anamtaja Sijui Genta ndo nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…