Niliposikia Magufuli kafa, nilihisi na mimi nimekufa - RC Chalamila

Wanafiqun kama hawa anatakiwa kupotezwa
 
Ndio wa pambe wa Mama muone kiongozi anatakiwa aweze kuwin hearts and minds za wasaidizi kwa kiwango na jinsi gani? Muache kumhujumu Mh Rais kwa machapisho ya kuwananga na kuwakatisha tamaa wasaidizi wake na Mama naye kwa kujua ama kutokujua kajikuta yuko kwenye band wagon yenu.

Huyu Chalamila hana cha kupoteza keshaona liwalo na liwe vijimaneno vya huyu hafai havimnyimi usingizi.
 
Itashangaza sana atateuliwa tena kuendelea na wadhifa huo. Sijui ana taaluma gani huyu!
Huyo ni mwana kitengo wew jinga..unahis kuna watu wanatumbuliwa tumbuliwa tu
 
Sasa viloba vinakwenda kumuua baada ya kutumbuliwa Jana usiku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…