3ZOV
JF-Expert Member
- Dec 28, 2020
- 6,259
- 7,015
Kibu jana kacheza mpira mbovu sanaMpira ni mchezo wa wazi.
Robert kipindi Cha kwanza mfumo wake ulifanya zipigwe popo tu.
Ndio maana Kibu akaonekana anafaa sana kwenye mfumo huo kuliko Chama.
Kipindi Cha pili Simba ili ingia na approach yake ya siku zote wanapokuwa kwa Mkapa pasi fupi fupi halafu nyingi.
Hapo ndipo watazamaji wakaanza kuuliza kwanini Chama atolewe awekwe Kibu.
Asingebadili mfumo hata hizo goli tatu asingeweza kuzilinda?