Nilipotabiri Ujio wa Kocha Olivieira Simba SC na ikatokea na Kushauri yafuatayo nilikuwa namaanisha

Kibu jana kacheza mpira mbovu sana
 
Upeo wa washabiki Tz ni mdogo sana..
Mbaya zaidi wachambuzi soka redioni wanaangalia upepo wa washabiki...

Kocha mechi ya kwanza , sub yaa CHAMA ...??
Iniesta ameichukua Barcelona zaidi ya mwaka , walau sasa inaanza kurudi..
Arsenal imebidi isubiri miaka 2 ..sasa kila mtu ..

Wapi ktk dunia utakuta mashabiki kama tz..
Hapa ni kumsaidia kocha mawazo..
Mambo ya sijui MGUNDA, MATOLA huku ni kukosa hoja za kiufundi...
 
Mashabiki wa Simba wamenishangaza sana. Haya mambo nilitegemea kuyaona kule upande wa pili siyo kwa timu smart kama Simba.

Kocha ambaye ana chini ya wiki mbili akiwa na timu, anawavusha kwa ushindi katika mechi ngumu dhidi ya timu ambayo imekuwa inaisumbua mara kwa mara, watu wamekomalia Chama Chama!

Siyo kila game itakuwa ya kuvutia. Wakati mwingine ikibidi inabidi ucheze ugly game muhimu ushindi. Mpira wa kufurahisha hauna maana kama haupati ushindi.
 
Jana kazingua Kocha kweli mbeya city huwa wanatusumbua ila sio wakiwa vile pungufu
Hata Prisons huwa wanatusumbua ila walivyojichanganya wakapata nyekundu uliona jinsi mvua ilivyowashukia
 
Jana kazingua Kocha kweli mbeya city huwa wanatusumbua ila sio wakiwa vile pungufu
Hata Prisons huwa wanatusumbua ila walivyojichanganya wakapata nyekundu uliona jinsi mvua ilivyowashukia
Kwani ile kadi nyekundu ilikuja dakika ya ngapi? Na pia reaction ya watazamaji na yenyewe iliwaathiri wachezaji wakapoteza kujiamini. Mtu unaongoza 3-1 halafu washabiki mmejikunyata kama mmemwagiwa maji ya baridi, kisa CHAMA? Mimi nakwambia kwa mpira ule ule wa jana, toa Kyombo au Kibu niwekee Okrah au Phiri, kungekuwa na goli 2 au 3 zaidi. Mnataka nini zaidi?
 
Mpika majungu.
Majungu,roho mbaya,husda ni maisha ya hovyo sana.
Watu wanaona na kuelewa mambo

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Genta...JF charismatic figure, knowledgeable ,talented and great thinker.

Kudos to you!!! Simba wamefanyia kazi mapendekezo yako
 
Genta...JF charismatic figure, knowledgeable ,talented and great thinker.

Kudos to you!!! Simba wamefanyia kazi mapendekezo yako
Asante kwa Credits zako Mkuu na nawashukuru Uongozi wa Simba SC kufuata Ushauri wangu na hata Wewe kuliona hilo.
 
Who cares?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…